Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mmmh

Hata hivyo, nimegundua kuwa Jina Makonda ni kubwa sana hapa nchini

Embu chukulia ingelitokea pengine kwa mkuu wa mkoa mwingine huko,

Mitandao ingeakaa kuandika kuulizia tatifa zake zaidi wa wiki kweli??

Makonda! Unasiku nyingi sana duniani, wanaokutakia mabaya, mkono wa Mungu wako utashughurika nao
Pamoja na umashuhuri huo, kipi kinamzuia kujibu mashambulizi au kuonekana mahali akiendeleza umashuhuri wake ...!?
 
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."

Global TV
Inategemewa ni aina gani ya maombi mkuu!
Ukitenda haki maombi yatafanya kazi.
Usipotenda haki hata kama wakiweka mikono mpaka nywele zinyonyoke, hayatasaidia.
 
Hivi hasa huwa mnamchukia kwasababu gani? Mana mimi nashindwaga kuelewa chuki ya namna hii ilitokaga wapi
Mambo niliyoyaona kwa macho yangu yanayofanya nimchukie ni haya...

Alimpiga Mzee Warioba. Je wewe hili jambo linakufurahisha?

Alivamia pale clouds Fm akiwa na bastola mkononi na kufanya uharibifu. Je wewe hili jambo linakufurahisha?

Tuachane na hayo mengine ya kina Ben Saanane na Tundu Lissu ambayo anahusishwa nayo ingawa binafsi Sina uhakika. Hebu niambie kwa hayo mambo mawili niliyoyataja hapo juu wewe unaonaje? Unampenda kwa hayo mambo aliyoyafanya au ndo uchawa unakusumbua?!!!
 
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."

Global TV

Kama ni mkristo kweli basi hawezi kufariki kwa kunywa sumu

Mark 16:17,18

17 “Na hizi ndizo ishara zitakazoandamana na wale wata kaoamini: Kwa kutumia jina langu watafukuza pepo; watasema kwa lugha mpya;

18 wataweza hata kuwakamata nyoka na kunywa sumu lakini wasidhurike; watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona
 
Mambo niliyoyaona kwa macho yangu yanayofanya nimchukie ni haya...

Alimpiga Mzee Warioba. Je wewe hili jambo linakufurahisha?

Alivamia pale clouds Fm akiwa na bastola mkononi na kufanya uharibifu. Je wewe hili jambo linakufurahisha?

Tuachane na hayo mengine ya kina Ben Saanane na Tundu Lissu ambayo anahusishwa nayo ingawa binafsi Sina uhakika. Hebu niambie kwa hayo mambo mawili niliyoyataja hapo juu wewe unaonaje? Unampenda kwa hayo mambo aliyoyafanya au ndo uchawa unakusumbua?!!!
Ndo tatizo lenu Jf mna makasiriko sana!
Mtu anauliza kutaka kujua unamjibu kama unamchamba!

Aisee watu wengi mnahitaji kujisafisha mioyo/miili yenu mna Dark energy kubwa sana!
Unadhani kila mtu anafatiliaga siasa? Mimi nimetaka kujua unatakiwa ujibu fact 》》》
 
Kama ni mkristo kweli basi hawezi kufariki kwa kunywa sumu

Mark 16:17,18

17 “Na hizi ndizo ishara zitakazoandamana na wale wata kaoamini: Kwa kutumia jina langu watafukuza pepo; watasema kwa lugha mpya;

18 wataweza hata kuwakamata nyoka na kunywa sumu lakini wasidhurike; watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona
Amen
 
"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."
Inaweza kuwa likizo ya matibabu, kwa hiyo hapo hajasema kitu. Watu makini hawawezi kuridhika na maelezo kama haya. Waandishi wa habari waliyakubali?
 
Back
Top Bottom