Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."

Global TV
Ukisia yuko !?!?!?!? ujue jipu huenda linakaribia ku pwaaa!
 
Hii ndio wanasema SATIRE?
 
Atajiju
 
Jamaa ni special case katika nchi hii aisee, akiwa kituo chake cha kazi wanasema anakaa hotel tena zaidi ya 3star na likizo yake ni nje ya nchi... Dah jamaa anaonekana ni expat.
 
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."

Global TV
Mkuu acha unafiki- CHADEMA na wewe si mlitwambia kapewa sumu amelazwa Afrika Kusini.
 
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."

Global TV
Yaani Mwenge upite mkoani kwake asiwepo kisa likizo , atakua ananipenda kweli?
 
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!

Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

Nyie mnaoleta Taharuki mnataka nini?

Taarifa kamili hii hapa

"Kufuatia uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, Katibu Tawala wa mkoa huo, Missaile Mussa amesema kuwa kiongozi huyo kwa sasa yuko likizo.

"Akihojiwa kwa njia ya simu na mwandishi wa Global TV, Julai 26, 2024 Missaile amesema hana taarifa za ziada tofauti na hizo kwamba Makonda yupo likizo."

Global TV
Yupo likizo maana yale yalotokea hivi karibuni yahitaji mtu kupumzika mahala kupisha upepo mkali.

Kama wakumbuka alisema angetaja ile orodha lakini alitishia tu.

Upepo wa safari hii ni mkali sana na wahitaji muda kidogo wa kuushughulikia.
 
Back
Top Bottom