Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Pre GE2025 Kumbe RC Makonda yuko Likizo, Uzushi kwamba anaumwa upuuzwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hukusikia Rais yuko likizo kizimkazi?
Hata magufuli alikuwa akienda likizo chato.
Hakuna kazi isipokuwa na likizo kwa sababu pamoja na kulitumikia taifa , lazima mtu apate muda wa kukaa na familia, wazazi , ndugu jamaa, marafiki na majirani. Kama mtu atakuwa hana likizo atakuwa anaishi kama mnyama ambaye hana nafasi ya kuangalia kuwa watu wake wa karibu pia wanahitaji kukaa nae na kufurahi nae.
 
nadhani atakuwa amejitathmini namna anavyochukiwa na watanzania. ajirekebishe basi. hadi machawa wake walikuwa kimya.
Watanzania wangapi wanaomchukia ?! Kama wewe unamchukia ni wewe kwa sababu unazozijua ila usidanganye kwamba kila unayemchukia watu wengine pia wanaomchukia!
 
Back
Top Bottom