Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeYuko likizo kwa madiba 😄
Jamaa amejuwa kucheza na akili
Za wabongo
Ova
Hata mimi namchukia. Wewe kama wampenda hamia kwake akakupe na msambwandaWatanzania wangapi wanaomchukia ?! Kama wewe unamchukia ni wewe kwa sababu unazozijua ila usidanganye kwamba kila unayemchukia watu wengine pia wanaomchukia!
...pa likizo.Wazalendo wanasema serikali ya mama imemu.......
"Imemupa" ndio kiswahili gani?...pa likizo.
Zamani ingekuwepo Gazeti la Mawio au Tanzania Daima tungekuwa tunajua.Wakuu habari??
Leo nina swali.
Siyo kawaida kabisa kwa Ndugu Paul kutoonekana kwenye runinga wala mitandao ya kijamii kwa muda mrefu hivi.
Yuko wapi Paul Makonda?
Hakuna duru zozote zinazoweza kutuhabarisha alipo bwana mkubwa?
Mwananchi Wa Kawaida.
Dodoma.
Kiswahili cha Kikasai hicho muheshimiwa."Imemupa" ndio kiswahili gani?
Mod waunganishe huu uzi na ule mwingineWakuu habari??
Leo nina swali.
Siyo kawaida kabisa kwa Ndugu Paul kutoonekana kwenye runinga wala mitandao ya kijamii kwa muda mrefu hivi.
Yuko wapi Paul Makonda?
Hakuna duru zozote zinazoweza kutuhabarisha alipo bwana mkubwa?
Mwananchi Wa Kawaida.
Dodoma.
Hauwezi kurefuka sana kama treni ya kuelekea Kigoma?Mod waunganishe huu uzi na ule mwingine