Ukweli wanao watanzania moyoni na akilini mwao ingawa wanafamilia wamejitahidi kutaka kutuaminisha walichokisema waoKikwete: "Jana jioni nilikwenda kumuona hospitali, tulizungumza sana. Alikuwa na maumivu lakini siyo yale ambayo ukitoka kumuangalia mgonjwa unawaambia nimemuona mgonjwa lakini"
Binafsi kama itanihitaji nidescribe hali anayokua nayo mgonjwa wamalaria nisingetumia maneno kma kua namaumivu nafikir kusema kua Hakua nahoma kali nahis ingekua nataswira sahihi ya mtu anaeumwa malaria
Sijui wataalamu, cardiac arrest ni mara moja tu, sio upate jumatano ufariki Ijumaa
Mbili, issue cardiac nilitegemea angepelekwa Hospitali yetu ya mabingwa wa moyo pale Jakaya Kikwete Cardiac Institute na sio Hospitali Mzna
Tungeacha tu kujadili tumzike Mzee wetu tuendelee na mengine maana tunazidi kuleta mkanganyiko
We acha tu Kaka...Mkapa alisema TAIFA LINA WAANDISHI KANJANJA.....na hwenda pia tuna madaktari KANJANJA Hawa wa humu MITANDAONI....Mkuu watu wa mitandaoni shida sana,hebu angalia mama magufuli alivyomkumbatia mama mkapa,na magufuli yuko pembeni,hivi ingekuwa korona kweli haya yote yangefanyika
Je madaktari wa mitandaoni ni bora kuliko tulip nao huku uraiani
Wanaosema ni korona wapuuzwe kwa kila namnaView attachment 1517349
Nimekuelewa MkuuHujaelewa , alipelekwa hosp kwa case ya malaria , hyo cardiac arrest imetokea ghafla akiwa huko hospital
Hujaelewa , alipelekwa hosp kwa case ya malaria , hyo cardiac arrest imetokea ghafla akiwa huko hospital
Aaah Mkuu maneno makali sana hayo nikose akili tena. Ni suala la kuelewa nimeelewa sasa MkubwaWewe akili ndio huna, alikua anaumwa Malaria na anaendelea vzr akifuatilia habari ktk Tv, alipokua amekaa kwenye kiti akajisikia ghafla vibaya Cardiac arrest, sasa ww ulitaka wampeleke Jakaya Kikwete Cardiac kwa tatizo la Malaria ?
Mkuu kifo cha mkapa ni covid 19 lakini kwa kuwa ilishatangazwa kuwa corona imekwisha Tanzania imekuwa vigumu kusema kafa kwa covid 19 na pia wameogopa wanafamilia kutengwa na jamii, tuendelee kuamini kile mmoja anakiamini moyoni mwake na hao wanafamilia acha waseme hayo kwani wapo watakaoamini kama alivyoamini Paskal mayala.Naam. Cardiac arrest ni final product ya magonjwa mbalimbali. Cardiac arrest ndio kifo chenyewe. Kwa lugha ya kitaalam kifo = cardiac arrest (aka cardio-pulmonary arrest). Cardiac arrest/kifo kinaweza kusabishwa na magonjwa mbalimbali. Kwa Mkapa tumeambiwa ni severe malaria ndio imesababisha cardiac arrest yake. That makes sense. Ukitaka kulazimisha iwe cardiac/heart attack basi kabishane na madaktari wake. Siyo wanaJF.
Swadakta👏👏👏👏👏Love it, hate it, severe malaria inaua. Severe malaria inaweza athiri ubongo, mapafu, figo, nk. Neno ya muhimu hapo ni SEVERE. Tuache kulazimisha mambo ambayo hayapo. Tuwaamini madaktari.
Mkuu kifo cha mkapa ni covid 19 lakini kwa kuwa ilishatangazwa kuwa corona imekwisha Tanzania imekuwa vigumu kusema kafa kwa covid 19 na pia wameogopa wanafamilia kutengwa na jamii, tuendelee kuamini kile mmoja anakiamini moyoni mwake na hao wanafamilia acha waseme hayo kwani wapo watakaoamini kama alivyoamini Paskal mayala.
Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.
Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.
Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.
Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya
Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari
Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.
Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.
Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.
RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.
Paskali
Kama ni hivyo hata wanafamilia wasingesema kafa kwa nini wangesema kafariki tu, kujua kitu Tatizo siyo kupoteza mda, ina maana wanafamilia kusema kilichopoteza uhai ni umbea?Umbea na uongo unasumbua sana binadamu (watanzania) hivi kweli unapoteza muda kutaka kujua chanzo cha kifo?wote tunajua kifo kinatafutaga sababu,tumuombee akimaliza mwendo salama tena ameishi umri wa kutosha kabisa wa kimungu sasa mwenzangu na Mimi hatujui tutakufaje tuko busy kujadili na kujifanya madaktari bingwa😕😕😕
Watu walikuwa wengi. Hata bwana Membe alikuwepo, sio rahisi kumuona kila mmoja.RIP MZEE MKAPA.
ILA KWANINI SIJAWAONA MZEE MWINYI NA MZEE KIKWETE
Tatizo la Tanzania hasa Tanganyika ni viongozi kuwadharau wananchi kwa kuwaona hawana uwezo wa kufikiriKumbe Cardiac attack mtu anapiga story....aaah aaaaah
Familia wamejichanganya sana na wamemfanya kikwete aonekane muongo wakati kikwete alienda kumuona kweli na mkweli ni kikwete na Hosptal alipokuwa kikwete anapajua, wanafamilia wamejichanganya sana ni Aibu kubwaKulikua na Sababu Gani Sasa ya kuwa na Kauli tofauti tofauti?
Ndugu wanasema ni Mshtuko wa Moyo na kafia nyumbani...
Hiyo story ya Hospital imetoka wapi