Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Mkuu pombe bado ipo kichwani, mbona jamaa kaeleza vizuri tu, unachotaka kupotosha ni nini sasa? Hakwenda hospital kwa shinikizo la moyo ila alikuwa hajisikii vizuri wakampima na kumkuta na malaria, hiyo cardiac imekuja baadae tena hata manesi hawakujua coz walimkuta tayari ameshafariki. Sasa ulikuwa unataka wafanyaje? wampeleke muhimbili akiwa maiti wakaitibu moyo?
Tuacheni kupotosha, mwacheni azikwe na apumzike kwa amani. Tuchukue kile tulichoambiwa na watu wake wa karibu hadi hapo watakapo sema kingine.
 
Minongono ya “kumalizwa” inaongezeka
Serikali lazima initahidi kuiondoa hii imetokana na Kauli kutofautiana Sana na ushuhuda wa wanafamilia hadharani na hata mmoja mmoja

The communication poorly handled
Ha ha ha Ukweli mkapa hakufia nyumbani amefia Hosptal pale alipokwenda kikwete na hao wanafamilia wamejichanganya sana ni Aibu kuudanganya umma
 
Tumetafuna pesa nyingi sana kama taifa kwa Kampeni za kutokomeza Malaria, na hata kufikia hatua ya wagonjwa wengi kupimwa nankukutwa hawana malaria na nafasi yake kuchukuliwa na UTI &/au Typhoid.
Leo hii tena BEN afe kwa malaria!!!! Ajabu gani hii
Wajinga hamuwezi kuisha mngesikiliza hotuba alaf ndio mngekuja kuchangia, kilichompeleka hospital ni Malaria na alikua anaendelea vzr, ila kilichomuondoa ni Iyo Cardiac arrest ambayo ilitokea ghafla
 
Paskali Rais mstaafu Kikwete alisema alipoonana na mkapa kabla hajafa alisema MAUMIVU sii makali sana, Je malaria ina maumivu?
Swala la heart attack hatupingi ila chanzo cha ugonjwa ulopelekea Heart attack ni questionable.
 
Kulikua na Sababu Gani Sasa ya kuwa na Kauli tofauti tofauti?
Ndugu wanasema ni Mshtuko wa Moyo na kafia nyumbani...
Hiyo story ya Hospital imetoka wapi
Hivi kafia nyumbani ama "hospitali Dar es salaam"? Naona bado kuna issue/utata eneo hili. Mbona kwa Nyerere, jina St. Thomas lilikuwa wazi kabisa?
Pascal Mayalla
 
Kwani Tatizo la kupumua si huja ghafra pia hakuna upotoshaji wowote kwa wachangiaji mada bali upotoshaji umetokea huko kwenu wanafamilia mmejichanganya wenyewe.
 
https://www.inquirer./health/corona...ular-heart-rhythm-penn-medicine-20200622.html
 
Nimekuelewa sana Chief.
 
Kitendo cha wanafamilia kutoa kauli tofauti na ya kikwete ndicho kimepelekea kuleta gumzo kubwa
 
Minongono ya “kumalizwa” inaongezeka
Serikali lazima initahidi kuiondoa hii imetokana na Kauli kutofautiana Sana na ushuhuda wa wanafamilia hadharani na hata mmoja mmoja

The communication poorly handled
Machiavellian believes in “who has the power/money has the say.”
So do whatever is necessary to get and to keep it.
Hence, he believes in “The ends justify the means”.

Win first and then you can do whatever with your power.

For good things, do them or appear to do them to gain reputation and support.

For the bad things, get someone else to do this necessary evils, so that if it fails, you can blame them and you still look good. i.e. always cover your backside.

Ruling with fear is better than ruling with love. It is better for people to fear you rather than respect you. With fear, people must do it or else.

With love or respect, the obedience is optional and hence less effective.

His teaching is very similar to Chinese HanFeiZi’s Legal School philosophy which believes in using the Laws (Laws are designed to favor the Emperor) to rule the people with fear to achieve immediate or at least short-term following and success.

Such principles work in the short run for quick success. However, in the longer term, people will discover it and will revolt against it.
 
Ha ha ha Ukweli mkapa hakufia nyumbani amefia Hosptal pale alipokwenda kikwete na hao wanafamilia wamejichanganya sana ni Aibu kuudanganya umma
Machiavellian believes in “who has the power/money has the say.”
So do whatever is necessary to get and to keep it.
Hence, he believes in “The ends justify the means”.

Win first and then you can do whatever with your power.

For good things, do them or appear to do them to gain reputation and support.

For the bad things, get someone else to do this necessary evils, so that if it fails, you can blame them and you still look good. i.e. always cover your backside.

Ruling with fear is better than ruling with love. It is better for people to fear you rather than respect you. With fear, people must do it or else.
 
Msome sana huyu clinical finisher ili ujue anatupiaje tupiaje nyavuni
 
Kwani huwezi kuwa unaumwa kitu kingine halafu ukapatwa na hiyo cardiac arrest na ukafa papo hapo?
 
ndammu,
Kumbuka jana yake kikwete alikuwa hospitali na marehemu wakipiga story, sidhani kama hospitali ni wajinga kuruhusu kikwete kama mkapa angekuwa na corona.
Wewe utakuwa mgeni Tanzania,hao madakitari ulitaka wasema ni corona? Hiyo itabaki Siri yao.acha tuendelee kusubiria tu cardiac arrest nyingine tu maana zitakuwa nyingi kipindi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…