GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
M
Mzna now EMMH, which is which?
Hahahahaa katika hizo M mbili moja wapo ndo Mzn ila niliyemuandikia kaelewa kirefu chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M
Mzna now EMMH, which is which?
Mkuu kwani Kati ya mtu aliyepokea pass ya mwisho na kutumbukiza kitu nyavuni na mtu aliyewalamba vyenga mabeki wote hadi golikipa Kisha akatoa pasi kwa mfumania nyavu ,nani Kati ya hao wawili amefunga goli
Kafia hospitali ya hapo Makumbusho yani simple kabisa. Hii tabia ya watanzania kufuata mawazo ya mfalme na kumnyenyekea kwa kumuogopa yatatumaliza. How come unaambiwa Tanzania Corona imepotea na wewe kwa uzuzu huku ukiwa na elimu kichwani unaamini? Huo ni ulemavu wa aina yake!BADO JAMBO MOJA HALIJAWEKWA WAZI. NI HOSPITALI GANI ALIKOFIA? HAYA MAMBO YA KUFICHA FICHA NI USHAMBA. KANUNI ZA TANGAZO KWA UMMA (PRESS RELEASE) NI KWAMBA LIJIELEZE LENYEWE (SELF EXPLANATORY) USITOE TANGAZO LENYE KUIBUA MASWALI YASIYO YA LAZIMA.
Yani mimi hata unichinje bado naamini kilichomsukuma mzee wetu Mkapa ni COVID 19. Full stop na tusipochukua tahadhari na kuendelea kama tulivyo basi itafika hawa wazee wameisha wote!
Wee jamaa sijui hata kuishi kwako huko Marekani unakuza vipi akili yako! Yani mawazo yako na ya yule msukuma wa kule Sumve ndani kabisa hayana tofauti. Upo hovyo balaa!Kwani huwezi kuwa unaumwa kitu kingine halafu ukapatwa na hiyo cardiac arrest na ukafa papo hapo?
Taratibu Mzee unakimbiza kuku umevaa taulo!!!P kuna ukakasi mwingi sana kwenye hizo sababu za kifo hebu tuzame mtandaoni tuone cardiac arrest inatokeaje kwanza
Sio DG NSSF kweli?.
Mvumilivu hula mbivu, Mayalla (njaa) amamrithi Hassan Abbas kama Msemaji mkuu wa Serkali, njaa kwisha! Rais mstaafu au mtu yeyote maarufu kifo chake au sababu ya kifo chake haitangazwi na mkeb au jamaa wa karibu.Wanabodi,
Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!.
Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF.
Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.
Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya
Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari
Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.
Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.
Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
Naombeni sana, wanabodi, tuwe na heshima kwa viongozi wetu na tuwe na heshima kwa marehemu, mkiisha ambiwa ukweli wa familia, then tuupokee ukweli huu, tuuamini, na kumheshimu Marehemu kwa kuto toa comments zozote negative based on hisia!.
RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.
Paskali
Wee jamaa sijui hata kuishi kwako huko Marekani unakuza vipi akili yako! Yani mawazo yako na ya yule msukuma wa kule Sumve ndani kabisa hayana tofauti. Upo hovyo balaa!
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.
Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.

Kila nafasi itaonja Mauti.
Sijui watu wanalazimishia ninj hata sielewi!
Kwa jamii iliyostaarabika ambayo kila wakati hujipanga kuzuia na kupambana na changamoto zote kwa ajili ya kesho iliyo bora zaidi kuliko leo na jana, ugonjwa au sababu ya kifo cha marehemu haiwezi kuwa siri. (Labda mkuu, ulimaanisha zile sera za Mrema).
Ndiyo maana huwa kuna autopsy, postmortem na hata inquests ilikujua sababu halisi ya kifo pasi na shaka yoyote..
Ikumbukwe kuwa kama ni sababu au ugonjwa, mbona unabakia kuwa ni huo huo uliomwua marehemu hata nani afanye je?
Hayo ndiyo mambo yake mola. Kazi yake haina makosa.
Apumzike kwa amani Jabari la Muziki.
Apumzike kwa amani mzee wetu rais mstaafu Mkapa.
Hivi cardiac arrest huwa mgonjwa analazwa hospitali, anapiga stori na wanaomtembelea wee ndipo inamuua? Hapa kuna walakini. Itoshe tu kusema RIP Mkapa. Mambo mengine wanafamilia waendelee kuyafanya siri yao, wasiingie kwenye mtego wa kutuliza uvumi unaoendelea.
Msemaji anasema Rais Mkapa kafia kwenye Kiti ghafla. JK anasema aliugua na alipata lisaa lizima kuongea nae kabla ya umauti. UTATA!
Mabandiko mengine ni ya kipuuzi kweli, kama hili hapa!Wanabodi,