Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemwelewa lakini sasa nauri yellow fever vinahusu nnSiyo kweli nauli ni shingapi
Yellow fever he?
Ana Gari lake acha kukurupuka...na hajazungumzia Gharama bali umbaliSiyo kweli nauli ni shingapi
Yellow fever he?
Kipande cha kuanzia wapi kina vumbi ?I hope wameweka lami.
Last time I passed ilikuwa barabara ya vumbi.
Arusha hadi Nairobi ni barabara ya vumbi?I hope wameweka lami.
Last time I passed ilikuwa barabara ya vumbi.
Kavurugwa huyo, labda anadhani Nairobi ya Kasulu.Kipande cha kuanzia wapi kina vumbi ?
Nyie ndio mlikuwaga mnafeli mitihani kwa kutosoma maelekezo😀Siyo kweli nauli ni shingapi
Yellow fever he?
Umemwelewa lakini sasa nauri yellow fever vinahusu nn
Nina rafiki yangu yupo kama wewe, Yeye ni mbishi tu,yupo negative tu kwa kila kitu, very conservative.Siyo kweli nauli ni shingapi
Yellow fever he?
Huyu mzee bwana.Kipande cha kuanzia wapi kina vumbi ?
Kabisa sasa tanga mombasa ni lisaa tuu uko kenyaDah! Yaani kutoka Moro kwenda Iringa ni mbali kuliko Arusha Nairobi!!
Mwaka gan hyo barabara ilikuwa ya vumbi mkuu?I hope wameweka lami.
Last time I passed ilikuwa barabara ya vumbi.
Siyo kweli nauli ni shingapi
Yellow fever he?
Barbara za kwenda kenya ni nyingi uskaririMwaka gan hyo barabara ilikuwa ya vumbi mkuu?
Itakua mara mwisho ulipita kabla haujazaliwa.I hope wameweka lami.
Last time I passed ilikuwa barabara ya vumbi.