PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kwani hapa wanaongelea Taveta, Holili au Shirati?Barbara za kwenda kenya ni nyingi uskariri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapa wanaongelea Taveta, Holili au Shirati?Barbara za kwenda kenya ni nyingi uskariri
The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator).
The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator)
Trippya
🖕🖕🖕Barbara za kwenda kenya ni nyingi uskariri
Bila shakaKwahiyo inawezekana mtu akaenda Nairobi akapiga tukio fasta na kurudi zake Arusha akaendelea na mishe zake kama kawa.
Siyo kweli nauli ni shingapi
Yellow fever he?
Kupitia Ololosokwan 😃😃Barbara za kwenda kenya ni nyingi uskariri
we wa wapi lami Arusha-Nairobi ya tangia enzi ya NyerereI hope wameweka lami.
Last time I passed ilikuwa barabara ya vumbi.
Huyo anazungumzia mwaka 60 huko,na bado anakaa kwa mama kukinga bakuli la ugaliMwaka gan hyo barabara ilikuwa ya vumbi mkuu?
🤣🤣🤣Huyo anazungumzia mwaka 60 huko,na bado anakaa kwa mama kukinga bakuli la ugali