Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

Zipo pia safari za kila siku kutoka Arusha-Moshi-Mombasa kabla mtu kutoka Arusha hajafika Tanga unakuwa umefika Mombasa tayari.
 
Niko shule form5 Arusha nlipata hela 35,000 kipindi hicho nikakimbia Nairobi chap na kurudi ArushaπŸ˜‚ na shuleni hawakujua sababu nlifika kabla ya chakula Cha jioni kuliwa na hapo nlipata time ya kula Chocho mbili tatu za Nairobi
Arusha na Nairobi ni karibu sana, Barabara ni nzuri, usafiri na mzuri na rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…