Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

Kumbe shemeji mtamu namna hii, basi nina mtihani mkubwa huko mbeleni

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
2,819
Reaction score
5,996
Za mida hii wakuu,

Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu binti, lakini leo nimefika mwisho.

Last night alinipigia simu akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli za kutafuta riziki nikatia mguu kwa shemeji kumjulia hali. Aisee, ile kufika mgonjwa akawa mgonjwa, mara hapa panauma naomba unifinye, mara shusha mkono kidogo unifanyie massage kidogo kiunoni mara, shuka tena chini.

Binti rangi ya Kiyahudi, nywele za Kiarabu, umbo la Kitutsi (namaanisha dondola), vijicho vidogo dogo vya kusinzia mithili ya Mchina. Nikaona isiwe tabu maana ile kumshika shika kumfanyia massage ni sawa na mtu ambae tayari ashakula kichwa cha ng'ombe, kwahiyo iweje ashindwe nyama? Nikaingia mzima mzima na kuandika historia yangu ya kwanza kwenye kichwa, akili na mawazo ya yule binti.

I mean nikajikuta natimize ule msemo unaosema 'mtoto akililia wembe mpe umkate'. This is not a something i was planning to do wakuu, it's how it is. Just from nowhere nimeshawishiwa, nikashawishika.

Aisee hiyo patashika nguo kuchanika haikuwa ya kawaida. Style za kulala, kukaa na kutembea chumba kizima zimemuacha kila mmoja wetu akiwa hoi. Usifanye mchezo kumpakata bint wa kilo 70 na kuzunguka zunguka naye chumbani, mithili ya mndengereko anaepeta mchele kwa ungo huku kata ikiwa ndani ya mtungi (watu wazima wanaelewa).

Right now nimemuacha binti hawezi hata kunyanyuka kwenda dukani, yaani yupo nyakanyaka, na bado kaniomba mechi nyingine weekend hii.

Sasa nafikiria niingize timu uwanjani au niweke mpira kwapani.
 
Hii Story katika jukwaa hili si Mahala pake. Nenda kaipeleke katika jukwaa la Mahusiano.
 
Za mida hii wakuu,

Yan week 2 zilizopita nimejitahidi kukwepa vishawishi na mitego ya huyu bint, lkn leo nimefika mwisho.

Last night alinipigia sim akidai kuwa anaumwa niende nikamuone, basi mimi leo nilipotoka kwenye shughuli ...
Shemeji yako, ina maana umenunua aina nyingine ya sabuni? Wazee wa chaputa nyie aiseee
 
Hilii nalo likatazamwe muheshimu waziri wamahusianoo...vijana wanakulaa mashemeji zao watkuja kula mpk dada zao
 
Hii Story katika jukwaa hili si Mahala pake. Nenda kaipeleke katika jukwaa la Mahusiano.
Nimejikuta nimeileta hapa kwa bahati mbaya. Ila nna hakika wazee wa kazi wataihamisha as soon as possible.
 
Enderea kumega kisela ila ukumbuke kupuma mbunye nyingi zimebunguliwa hapa mjini dasilamu
Naenda nae kimagutu magutu mkuu, ila nimepanga kumuacha njiani kabla so halijabumburuka.
 
Back
Top Bottom