babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Ndio kitu kawa vile!!!Ni bora maana kukaririshwa mambo ambayo hata huelewi nani anataka.
Mara sijui ukifa unapewa wanawake vigori 72. Uongo mtupu
Siyo Isipokuwa Mleta Mada Ana NongwaHii nayo story
Kwamba Manula alimpeleka kwa mtaalamu aliyeko mahengembona amekaa kama mzanzibari halafu sio kwa ajili ya mbususu tu , kapombe aliwahi kupigwa kitu kizito sana kikamuweka kitandani ( na asinge weza kabisa kucheza mpira) akapelekwa morogoro kwa yule mmama mlokole anae tibu kwa dawa za mimea yeye masharti yake ni kwamba ili akutibu maradhi ya kipepo ni lazima kwanza umpokee Yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako, so kapombe hakuwa na jinsi zaidi ya kufanya hivyo na hakuamini yule mama alimtibu kapombe akapona kabisa na kurejea kwenye mpira mpaka sasa unamuona. kapombe baada ya kupata uponyaji hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua kuwa mlokole kabisa maana alisha hangaika sana na alishajua ndio mwisho wake
We ni mjinga.....kwenye mafundisho yote umekariri hapo tuNi bora maana kukaririshwa mambo ambayo hata huelewi nani anataka.
Mara sijui ukifa unapewa wanawake vigori 72. Uongo mtupu
kumbe unamjua? sio mtaalamu yule ni prophet. Very very powerful. Ana upako mkubwa sana na amewasaidia wachezaji wengi sana.Kwamba Manula alimpeleka kwa mtaalamu aliyeko mahenge
Kwa hiyo hoja ni nini hapa, hata angekuwa hana dini yoyote si uamuzi wake?Amebadilisha dini huu mwaka wa tano, anasali KKKT.
Nguruwe anachukiwa tena kwa ukali na DINI nzima lakini bado ana NAWIRI uWatu wa kanda ya ziwa sijui wapoje wanatumia majina yetu ya kiislamu halafu ni wakristo,wala nguruwe wakubwa.[emoji57]
Waafrika ni ngozi ya Tako,sasa dini ina tija gani kwenye kipaji chake?badala ya kujadili jinsi tutakavyozalisha wakina Kapombe wengi,tunawaza dini na kwbila zao!!vijana inabidi tujiulize kwanini tuna Bakheresa mmoja,diamond mmoja,Hashim thsbit mmoja,miradi ayo mmoja!kwanini hatuna watu kama Eron musk,bill Gate!Kuna watu hawajuhi kwamba Kuna mainjinia watz kwenye kampuni ya Tesra huko US!Looo hii nayo ni mada ya kujadiliwa, ndio maana nchi hii hatuendi mbele, Imani ya kiroho ya Mr.Shomari Kapombe humu JF inatuhusu nini?,inakera sana hichi kizazi cha dot.com
Alienda kwa Mwandulami, mambo yakawa waaa!Kwamba Manula alimpeleka kwa mtaalamu aliyeko mahenge
Welldone mkuu umeongea facts tupu na sisi watanzania tuliowengi hatupendi kuongea ukweli, tumejaa unafiki, uongo na uoga wa kipumbavu, nchi hii tuna wataalamu wengi tu, nenda hapo Namibia, Botswana wapo wengi tu na ni watanzania waliotengeneza systems ndani ya nchi hizi na zinafanya kazi, kama kuna mwana JF yeyote aliyewahi kuombwa rushwa ndani ya Botswana, pls thibitisha hilo hapa Nami kama ni kweli nitakurudishia hicho ulichotoa kwaoWaafrika ni ngozi ya Tako,sasa dini ina tija gani kwenye kipaji chake?badala ya kujadili jinsi tutakavyozalisha wakina Kapombe wengi,tunawaza dini na kwbila zao!!vijana inabidi tujiulize kwanini tuna Bakheresa mmoja,diamond mmoja,Hashim thsbit mmoja,miradi ayo mmoja!kwanini hatuna watu kama Eron musk,bill Gate!Kuna watu hawajuhi kwamba Kuna mainjinia watz kwenye kampuni ya Tesra huko US!
Nilibahatika kukutana na wake ya SA nikawauliza waliwezaje kupata kazi kwenye makampuni ya kimataifa!jamaa akasema yeye aliomba,akafanyiwa usaili mara nne,akapata kazi sasa hv yeye ni mtu wa kuruka na pipa tu,vijana wazeni pakubwa
Mi mwenyewe nilivomuona nikashangaa nikajua labda ni kitu tu ambacho wachezaji huwa wanafanya kimazoeaNilishangaa nilipomwona akipiga ishara ya msalaba katika ile mechi ya Orlando.
Kapombe sio mtu wa Morogoro, ni Mngoni ila familia yake yaani wazazi walipiga kambi Morogoro nadhani ndipo alikozaliwakapombe ni mtu wa morogoro
Si kweli, sio KKKT, ni mkatolikiAmebadilisha dini huu mwaka wa tano, anasali KKKT.
Kwahiyo ukweli ni Mungu kupigwa na wanadamu aliowaumba?Ni bora maana kukaririshwa mambo ambayo hata huelewi nani anataka.
Mara sijui ukifa unapewa wanawake vigori 72. Uongo mtupu