Jina la vyura na utopolo vimetokea wapiHaujui historia ya Simba wewe Simba imeanzishwa na Yanga walipokua Yanga wakajitoa wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens, mbumbumbu baadae wakabadiri jina kutoka Queens kwenda Sunderland, mbumbumbu baada ya Sunderland wakabadiri tena wakaanza kujiita Simba ila walitoka Yanga, na Yanga haijawahi kubadilishwa ovyoovyo majina Jina limebakia vile vile tangu ianzishwe
Wewe umezaliwa mwaka gani wewe hujui kuhusiana na masuala ya utani? Hilo vyula ni utani wa Jadi km ilivyokua Queens wakati Simba wanajiita Queens wakawa wanataniwa maana Queens ukiipeleeka kwenye Kiswahili maana yake ni Wanawake sasa klabu inajiita Queens na wanacheza wanaume wewe hapo unasemaje, tukija kwenye utani wa makolo kwa Simba na utopolo kwa Yanga (muasisi Haji Manara) hayo ni majina ya utani, vyula ni Jina la utani sababu uwanja wa Jangwani mvua ikinyesha panajaa na pale ndio kuna HQ ya Yanga na maji yakijaa hayakosi vyula ndio ukaanza utani wa vyula, sijui unanielewa na mautani mengine mengi tu yamepita hizi timu 2 ni timu zenye utani mwingi km makabila yanayoshabihiana lazima watanianeJina la vyura na utopolo vimetokea wapi
Iwekwe Sheria Kama MTU hujui kitu huna haki ya kupost kuepusha machapisho ya kipumbavu kutoka kwa wapumbavuHapo vip!!
Naomba kuwasilisha
Kumbe Simba haikuanzishwa na malofa kama wale wengine.
View attachment 3121076
Utampasuwa Kichwa ubongo wenyewe kisoda, muulize tu akutajie wajumbe wa bodi ya Wadhamini wa Yanga inatosha kabisa.Mtoa mada hivi unajua Mzee karume alikuwa shabiki ndaki ndaki wa timu Gani? Nijibu kwanza nipime kiwango chako Cha Akili.
HahahahaUtampasuwa Kichwa ubongo wenyewe kisoda, muulize tu akutajie wajumbe wa bodi ya Wadhamini wa Yanga inatosha kabisa.
Yanga na Simba ni timu za serikali sijui tuongee mara ngapi ndio muelewe.Kama sio Yanga Simba isingekuwepo. Kama sio mzee karume na wenzake Yanga isingekuwepo Wala Simba. ... Historia inaeleza vyema
We unasema unajua,mimu sijui nipe ushahidi wa kadi ya mwanachama kwasababu mimi ushahidi wangu yupo hapo kwenye uzunduzi wa Simba sc.Mtoa mada hivi unajua Mzee karume alikuwa shabiki ndaki ndaki wa timu Gani? Nijibu kwanza nipime kiwango chako Cha Akili.
Mwanayanga Africa huyo hakuna asiyemjuaUna
We unasema unajua,mimu sijui nipe ushahidi wa kadi ya mwanachama kwasababu mimi ushahidi wangu yupo hapo kwenye uzunduzi wa Simba sc.
By the way,hapo kwenye uanzishawaji wa Simba ni uzito wa viongozi waliohudhuria,ndio ujue imeanzishwa na waasisi wa nchi hii na sio malofa
Eti Simba imetokana na yanga..ambu nitajia mwanayanga au maasisi wa yanga aliyoanzisha Simba?hizi stori za kipumbavu mwisho ni nyakati hizi kwa kizazi chenye akili zao.Story za kusadikika kwa hiki kizazi chenye kujielewa haina nafasi mzeee..mnalokota lokoota story za kipumbavu ambazo hazina nyuma wala mbele..Kama sio Yanga Simba isingekuwepo. Kama sio mzee karume na wenzake Yanga isingekuwepo Wala Simba. ... Historia inaeleza vyema
Aisee unang'ang'ania na kujipendekeza kwa Simba huku fact,data na ushahidi zinakupinga.Mwanayanga Africa huyo hakuna asiyemjua
Je,karume amekuja hapo kama kiongozi au mshabiki wa timu fulani?hata kama ni mwanachama wa Simba ila amekuja hapo kama kiongozi au mgeni rasmi kwa luga rahisi..Na kisheria kiongozi wa nchi haruhusiwi kuanzisha timu ya mpira...hivyo Simba imeanzishwa na wanasimba wakawaaalika viongozi wa nchi,yaani waasisi wa Taifa hili...na Sio wanayanga wameanzisha SimbaMwanayanga Africa huyo hakuna asiyemjua
We jamaa una kinyesi kichwani auEti Simba imetokana na yanga..ambu nitajia mwanayanga au maasisi wa yanga aliyoanzisha Simba?hizi stori za kipumbavu mwisho ni nyakati hizi kwa kizazi chenye akili zao.Story za kusadikika kwa hiki kizazi chenye kujielewa haina nafasi mzeee..mnalokota lokoota story za kipumbavu ambazo hazina nyuma wala mbele..
YangaHaujui historia ya Simba wewe Simba imeanzishwa na Yanga walipokua Yanga wakajitoa wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens, mbumbumbu baadae wakabadiri jina kutoka Queens kwenda Sunderland, mbumbumbu baada ya Sunderland wakabadiri tena wakaanza kujiita Simba ila walitoka Yanga, na Yanga haijawahi kubadilishwa ovyoovyo majina Jina limebakia vile vile tangu ianzishwe
Kuna timu pale uingereza ilicheza EPL nkWewe umezaliwa mwaka gani wewe hujui kuhusiana na masuala ya utani? Hilo vyula ni utani wa Jadi km ilivyokua Queens wakati Simba wanajiita Queens wakawa wanataniwa maana Queens ukiipeleeka kwenye Kiswahili maana yake ni Wanawake sasa klabu inajiita Queens na wanacheza wanaume wewe hapo unasemaje, tukija kwenye utani wa makolo kwa Simba na utopolo kwa Yanga (muasisi Haji Manara) hayo ni majina ya utani, vyula ni Jina la utani sababu uwanja wa Jangwani mvua ikinyesha panajaa na pale ndio kuna HQ ya Yanga na maji yakijaa hayakosi vyula ndio ukaanza utani wa vyula, sijui unanielewa na mautani mengine mengi tu yamepita hizi timu 2 ni timu zenye utani mwingi km makabila yanayoshabihiana lazima wataniane
Inaitwa Queens Park Rangers unajua kiswahili chake kwa maneno yote matatu sio Queens pekee na kingine hapo nimeshaeleza Mzee Abeid Karume ndie aliwaambia Simba wabadiri jina kutoka Queens mpaka Sunderland majina ya kikoloni kuja jina la kiafrika sababu Queens/Sunderland limekaa kikoloni zaidi na tumeshapata Uhuru, sasa QPR si unawazungumzia wakoloni wa kipindi hicho hilo ni la kwao kwa hio kujiita hivyo kwao ni sahihi hapa ninakuelezea kwa mtizamo wa Hayati Mzee Karume aliwashauri viongozi wa Simba wabadiri jina la klabu kutoka Queens mpaka Sunderland kuja SimbaKuna timu pale uingereza ilicheza EPL nk
Inafahamika kama QPR, dadavua kwa hoja unayoinasibisha hapa...
New Young iliitwa hivyo ilipoanzishwa 1935Yanga
Young Africans
Dar Young Africans
Hoja ilikuwa Queens kutumika ktk timu ya wanaumeInaitwa Queens Park Rangers unajua kiswahili chake kwa maneno yote matatu sio Queens pekee na kingine hapo nimeshaeleza Mzee Abeid Karume ndie aliwaambia Simba wabadiri jina kutoka Queens mpaka Sunderland majina ya kikoloni kuja jina la kiafrika sababu Queens/Sunderland limekaa kikoloni zaidi na tumeshapata Uhuru, sasa QPR si unawazungumzia wakoloni wa kipindi hicho hilo ni la kwao kwa hio kujiita hivyo kwao ni sahihi hapa ninakuelezea kwa mtizamo wa Mzee Karume aliwashauri viongozi wa Simba wabadiri jina la klabu kutoka Queens mpaka Sunderland kuja Simba
Kwahiyo Yanga imetokana na shida ya kufahamu au kutamka neno Young!New Young iliitwa hivyo ilipoanzishwa 1935
Ikabadirika ikaitwa Young Africans
Ikabadirika ikaitwa Dar Young Africans
Zote zinasomeka YANGA kwa kindengerezo cha wamatumbi na wamakonde unaelewa ni sawa na Michael Chen kuitwa Mikocheni au Musa Hassan kuitwa Msasani, Young A ,= YANGA