Kumbe Simba haikuanzishwa kama wale wengine

Haujui historia ya Simba wewe Simba imeanzishwa na Yanga walipokua Yanga wakajitoa wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens, mbumbumbu baadae wakabadiri jina kutoka Queens kwenda Sunderland, mbumbumbu baada ya Sunderland wakabadiri tena wakaanza kujiita Simba ila walitoka Yanga, na Yanga haijawahi kubadilishwa ovyoovyo majina Jina limebakia vile vile tangu ianzishwe
Jina la vyura na utopolo vimetokea wapi
 
Jina la vyura na utopolo vimetokea wapi
Wewe umezaliwa mwaka gani wewe hujui kuhusiana na masuala ya utani? Hilo vyula ni utani wa Jadi km ilivyokua Queens wakati Simba wanajiita Queens wakawa wanataniwa maana Queens ukiipeleeka kwenye Kiswahili maana yake ni Wanawake sasa klabu inajiita Queens na wanacheza wanaume wewe hapo unasemaje, tukija kwenye utani wa makolo kwa Simba na utopolo kwa Yanga (muasisi Haji Manara) hayo ni majina ya utani, vyula ni Jina la utani sababu uwanja wa Jangwani mvua ikinyesha panajaa na pale ndio kuna HQ ya Yanga na maji yakijaa hayakosi vyula ndio ukaanza utani wa vyula, sijui unanielewa na mautani mengine mengi tu yamepita hizi timu 2 ni timu zenye utani mwingi km makabila yanayoshabihiana lazima wataniane
 
Kama sio Yanga Simba isingekuwepo. Kama sio mzee karume na wenzake Yanga isingekuwepo Wala Simba. ... Historia inaeleza vyema
 
Mtoa mada hivi unajua Mzee karume alikuwa shabiki ndaki ndaki wa timu Gani? Nijibu kwanza nipime kiwango chako Cha Akili.
Utampasuwa Kichwa ubongo wenyewe kisoda, muulize tu akutajie wajumbe wa bodi ya Wadhamini wa Yanga inatosha kabisa.
 
Kama sio Yanga Simba isingekuwepo. Kama sio mzee karume na wenzake Yanga isingekuwepo Wala Simba. ... Historia inaeleza vyema
Yanga na Simba ni timu za serikali sijui tuongee mara ngapi ndio muelewe.

Jengo la Yanga amejenga Karume na jengo la Simba amejenga Karume timu akapewa Kawawa ndio Simba wa vita, Karume ni Yanga from the beggining.
 
zimba ilitokea ubavuni mwa yanga kama hawa alivyotekea ubavuni mwa adam,mbumbumbu
 
Una
Mtoa mada hivi unajua Mzee karume alikuwa shabiki ndaki ndaki wa timu Gani? Nijibu kwanza nipime kiwango chako Cha Akili.
We unasema unajua,mimu sijui nipe ushahidi wa kadi ya mwanachama kwasababu mimi ushahidi wangu yupo hapo kwenye uzunduzi wa Simba sc.
By the way,hapo kwenye uanzishawaji wa Simba ni uzito wa viongozi waliohudhuria,ndio ujue imeanzishwa na waasisi wa nchi hii na sio malofa
 
Mwanayanga Africa huyo hakuna asiyemjua
 
Kama sio Yanga Simba isingekuwepo. Kama sio mzee karume na wenzake Yanga isingekuwepo Wala Simba. ... Historia inaeleza vyema
Eti Simba imetokana na yanga..ambu nitajia mwanayanga au maasisi wa yanga aliyoanzisha Simba?hizi stori za kipumbavu mwisho ni nyakati hizi kwa kizazi chenye akili zao.Story za kusadikika kwa hiki kizazi chenye kujielewa haina nafasi mzeee..mnalokota lokoota story za kipumbavu ambazo hazina nyuma wala mbele..
 
Mwanayanga Africa huyo hakuna asiyemjua
Aisee unang'ang'ania na kujipendekeza kwa Simba huku fact,data na ushahidi zinakupinga.

Hauoni unateseka...thibitisha kwa kadi au jezi aliyovaa sio story mbuzi unaleta hapa...kwanza wewe inaonekana elimu ndogo sana,ndio maana unang'ang'aniza vitu pasipo ushahidi..akili vya vijiwe vya kahawa
 
Mwanayanga Africa huyo hakuna asiyemjua
Je,karume amekuja hapo kama kiongozi au mshabiki wa timu fulani?hata kama ni mwanachama wa Simba ila amekuja hapo kama kiongozi au mgeni rasmi kwa luga rahisi..Na kisheria kiongozi wa nchi haruhusiwi kuanzisha timu ya mpira...hivyo Simba imeanzishwa na wanasimba wakawaaalika viongozi wa nchi,yaani waasisi wa Taifa hili...na Sio wanayanga wameanzisha Simba
 
Eti Simba imetokana na yanga..ambu nitajia mwanayanga au maasisi wa yanga aliyoanzisha Simba?hizi stori za kipumbavu mwisho ni nyakati hizi kwa kizazi chenye akili zao.Story za kusadikika kwa hiki kizazi chenye kujielewa haina nafasi mzeee..mnalokota lokoota story za kipumbavu ambazo hazina nyuma wala mbele..
We jamaa una kinyesi kichwani au
 
Haujui historia ya Simba wewe Simba imeanzishwa na Yanga walipokua Yanga wakajitoa wakaenda kuungana na Waarabu wakaunda timu inaitwa Queens, mbumbumbu baadae wakabadiri jina kutoka Queens kwenda Sunderland, mbumbumbu baada ya Sunderland wakabadiri tena wakaanza kujiita Simba ila walitoka Yanga, na Yanga haijawahi kubadilishwa ovyoovyo majina Jina limebakia vile vile tangu ianzishwe
Yanga
Young Africans
Dar Young Africans
 
Wewe umezaliwa mwaka gani wewe hujui kuhusiana na masuala ya utani? Hilo vyula ni utani wa Jadi km ilivyokua Queens wakati Simba wanajiita Queens wakawa wanataniwa maana Queens ukiipeleeka kwenye Kiswahili maana yake ni Wanawake sasa klabu inajiita Queens na wanacheza wanaume wewe hapo unasemaje, tukija kwenye utani wa makolo kwa Simba na utopolo kwa Yanga (muasisi Haji Manara) hayo ni majina ya utani, vyula ni Jina la utani sababu uwanja wa Jangwani mvua ikinyesha panajaa na pale ndio kuna HQ ya Yanga na maji yakijaa hayakosi vyula ndio ukaanza utani wa vyula, sijui unanielewa na mautani mengine mengi tu yamepita hizi timu 2 ni timu zenye utani mwingi km makabila yanayoshabihiana lazima wataniane
Kuna timu pale uingereza ilicheza EPL nk

Inafahamika kama QPR, dadavua kwa hoja unayoinasibisha hapa...
 
Inaitwa Queens Park Rangers unajua kiswahili chake kwa maneno yote matatu sio Queens pekee na kingine hapo nimeshaeleza Mzee Abeid Karume ndie aliwaambia Simba wabadiri jina kutoka Queens mpaka Sunderland majina ya kikoloni kuja jina la kiafrika sababu Queens/Sunderland limekaa kikoloni zaidi na tumeshapata Uhuru, sasa QPR si unawazungumzia wakoloni wa kipindi hicho hilo ni la kwao kwa hio kujiita hivyo kwao ni sahihi hapa ninakuelezea kwa mtizamo wa Hayati Mzee Karume aliwashauri viongozi wa Simba wabadiri jina la klabu kutoka Queens mpaka Sunderland kuja Simba
 
Yanga
Young Africans
Dar Young Africans
New Young iliitwa hivyo ilipoanzishwa 1935
Ikabadirika ikaitwa Young Africans
Ikabadirika ikaitwa Dar Young Africans

Zote zinasomeka YANGA kwa kindengerezo cha wamatumbi na wamakonde unaelewa ni sawa na Michael Chen kuitwa Mikocheni au Musa Hassan kuitwa Msasani, Young A ,= YANGA
 
Inaitwa Queens Park Rangers unajua kiswahili chake kwa maneno yote matatu sio Queens pekee na kingine hapo nimeshaeleza Mzee Abeid Karume ndie aliwaambia Simba wabadiri jina kutoka Queens mpaka Sunderland majina ya kikoloni kuja jina la kiafrika sababu Queens/Sunderland limekaa kikoloni zaidi na tumeshapata Uhuru, sasa QPR si unawazungumzia wakoloni wa kipindi hicho hilo ni la kwao kwa hio kujiita hivyo kwao ni sahihi hapa ninakuelezea kwa mtizamo wa Mzee Karume aliwashauri viongozi wa Simba wabadiri jina la klabu kutoka Queens mpaka Sunderland kuja Simba
Hoja ilikuwa Queens kutumika ktk timu ya wanaume

Sasa hivi hoja imebadilika kuwa Queens nineno la kikoloni

Lakini Yanga wanaitwa Youn Africans na Simba wamebakia na Simba yao

Hoja ya karume na yako tunaziwekaje katika hili?

Yalikuwa ni mawazo yake, je na wewe mawazo yako ni yapi?
 
New Young iliitwa hivyo ilipoanzishwa 1935
Ikabadirika ikaitwa Young Africans
Ikabadirika ikaitwa Dar Young Africans

Zote zinasomeka YANGA kwa kindengerezo cha wamatumbi na wamakonde unaelewa ni sawa na Michael Chen kuitwa Mikocheni au Musa Hassan kuitwa Msasani, Young A ,= YANGA
Kwahiyo Yanga imetokana na shida ya kufahamu au kutamka neno Young!

Asante kwa hili

Hapa ukiweka utani inakuwaje sasa? Kauli ya manara inaweza kufanyakazi katika eneo hili, au unaonaje?
 
Back
Top Bottom