Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

We ng'ombe hakuna nchi duniani inaitwa Dubai
Kama vile hakuna nchi inaitwa Tanganyika au siyo?

Uzuri ni kuwa kuna.mkatabakati ya serikali kuu ya Tanzania na serikali ya mtaa Dubai, au siyo?
 
Hela ni mkopo wa WB utakaolipwa na kodi za watanzania/watanganyika
Hayo amekwambia Maria huna ushahidi link wala extract kuonyesha uhusiano wa hizo hela na uwekezaji unaokusudiwa kufanywa na WB ata vitu anavyoongelea tofauti na wanavyoenda fanya DPW.

Walau kwenye maelewano ya awali MoU iliyosainiwa Dubai ni $500. Hiyo $21m ainunui ata crane tatu za kisasa zinazohitajika kila berth. Achilia mbali kutekeleza miradi mingine iliyotajwa.

Maria ana audience yake you are better than that.
 
Kama vile hakuna nchi inaitwa Tanganyika au siyo?

Uzuri ni kuwa kuna.mkatabakati ya serikali kuu ya Tanzania na serikali ya mtaa Dubai, au siyo?
Peleka hiyo K Kwa wazee wenzako Mimi Huwa sitombi wazee
 
Sawa lkn mkataba haueleweki na wanaotakiwa kutuelewesha mpaka leo wako kimyaa, watuache na umaskini wetu hatuoni cha maana kutoka kwenye gesi.
 
Wala asali katika ubora wenu
 
Ni hivi unaweza kuingia mikataba kwa aina mbili kupitia BIT au IGA zote ni frameworks za kuingia mikataba. Kukuwa BIT ya nchi mbili uitaji IGA.


Hiyo hapo BIT ya U.K. na UAE general framework ina mambo yale yale kwa asilimia kubwa na IGA ya Tanzania.


BIT ya U.A.E na Netherlands utakutana na mambo yale yale yaliyomo kwenye IGA.


UAE na Belgium.
 
Let us agree to disagree, usinilazimishe niamini unacho amini, hoja yangu ni kwa DP world itaongeza ufanisi na mapato serikalini yataongezeka.......sisi wabongo tumeshindwa kuendesha bandari kwa mda mrefu
Hayo mapato yataongeza kutoka sh? Mpaka sh? Na ni baada muda gani toka akabidhiwe hiyo bandari na anatarajiwa kuwekeza sh? Ili kukuza hayo mapato? Na je yeye atafaidikaje? Au je mapato yasipoongezeka nini kitafanyika? Yawezekakana mapato yakaongezeka baada ya miaka 100 je na hapo unaona ni sawa?JITAMBUE NDUGU.
 
Kuna mfano wa nchi alikowekeza DP W na kuwaachia wenyeji bandari hizo na ufanisi juu...


Hii mifano ingesaidia kuelewesha wasioelewa. La tunayoyaona ni mifano ya migogoro na kesi za mahakaman

Walishakuwa na mkataba wa miaka 20 kwenye port moja India, in 2018 wakati muda wao unakaribia ku-expire; kwenye new bidding walishindwa na mwekezaji mwingine wakaondoka kawaida tu.
 
Jibuni hoja, raia uwekezaji wanautaka ila vipengere vinavyoonekana vibovu virekebishwe. Siyo kusema tu ooh haya nimakubaliano ya awali., ujinga tu.
Vipengele vipi, mbona vyote mwanasheria wa wizara ya uchukuzi amedadavua kwa kina mara kadhaa kwenye media. Alikuwa kwenye mjadala wa malumbano ya hoja ITV, alikuwa Azam na jana alikuwa kwenye Club ya Msigwa.

Wewe una kipengele gani ambacho ujakielewa?
 
Kuna BIT zilizopitishwa na mabunge yao. Panapo BIT uhitaji IGA, ila ni kitu kile kile framework.
 
Asante sana Mkuu.
===
Wataalamu wa kusoma vifungu Karibu.
====
Mkuu,
Hapa naona aliyeingia mkataba ni UAE na si DPWorld kwa upande wa mkataba wa Netherlands. Pia Hata kwa upande wa Belgium na Luxembourg ni UAE ndiye aliingia mkataba si DP World!!! Hapa napo Pana nitatiza!!! Dubai imejitenga na UAE Siku hizi?
 
Tangu lini aliyekupa ugali umseme vibaya.., sanaa tu hiyo. Alizungumzia article 22 an 23
 
We ng'ombe hakuna nchi duniani inaitwa Dubai
Dubai ni Emirate yenye Mamlaka yake, Duniani kumebaki Emirate Kama 10 tu, Qatar, Kuwait, Afghanistan na hizo Emirate 7 zinazounda Uae.

Nchi ya Uae imeundwa 1970 tu, kabla ya Hapo Dubai ilikuwa ina Exist.

Kama Ilivyo Tanzania na Zanzibar Kuna mambo ya Muungano na yasiyo ya Muungano, Zanzibar wana Raisi na Dubai wana Emir.


Ukiingia hapo utaona mamlaka za Dubai, Wana polisi wao, Wana Idara zao za maji etc.

Na hii Ni serikali ya Dubai

Inaongozwa na Emir, ina crown prince etc.

So Dubai ni mamlaka kamili
 

Kama ulikuwa ujui hili wewe sio mfuatiliaji ni mshabiki tu!
 
Habari ya Maria Sarungi haina hadhi ya kuaminika.

Hoja zake siku zote ni negative tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…