Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

Kuna dada mmoja anaitwa Maria wa Jamhuri ya Twitter, yaani kuna kitu anakitafuta na naona kutakuwa na matokeo mabaya kwake.
 
Kimsingi hata SGR Zinakwenda kusimamiwa na DP Kwa mkataba uliopo

logistics infrastructure:Roads,Rail,Sea,Air..Dry Ports,CFS,ICDs,Airports (bandari),Rail Terminals (Bandari)..Sea Ports ()..

Ni ngumu kumeza
 
Hii nchi balaa kabisa kabisa kabisa,😑😑😑😑😑😑
 
Soma hiyoo πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…