matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika
Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbongo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maeneo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.