matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #21
hahahaAtakuwa aliongea na Vilaza
huyo bilionea anasema alikuwa anaongea na investors. na hapo alikuwa anasisitiza kujitangaza mkuu.
hahahaAtakuwa aliongea na Vilaza
hapa ndo umenifanya nikupuuze kuna kombe la dunia kila michuano nchi kibao za Africa huwa zinaingia kwenye michuano[/QUOTE]Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
.
namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika
Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbogo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maendeo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.
Hatarii.Karibuni nilisikia kuna nchi wamesema Tanzania kuna maasai na wanyama tu!
mkuu shule ya msingi mwalimu Tofiki alinisababishia kujua dunia kama mitaa ya kariakoo.Siwezi kuona ajabu ya hilo . Ishu ni kwamba hawakufundishwa historia ya dunia nzima tangu wakiwa wadogo.
Walisoma zaidi historia ya nchi zao.
Ndomana sisi wabongo tunajua miji mikuu ya nchi zote, tunajua denmark ni maarufu kwa kufuga ngombe, australua kondoo. Jikubali mzeee na Tanzania yetu kuwa mzalendo.
Sababu zipo vijijini/chaka nizijue za nini.Wee mwenyewe hapo ulipo kuna wilaya za hapa Tanzania hata hujui ziko mkoa gani?
Kwa mfano nikikuuliza wilaya ya Mbogwe, Itimila hata hujui zilipo na uko hapa hapa Tanzania, sembuse wazungu huko ulimwengu wa juu !!!
Kile kisiwa kinatembelewa na watalii wengi sana toka duniani kote na wanapokuwa hapo ndipo hukodi ndege kwenda kwenye hifadhi zetu za Wanyama na kurudi kwenye mahoteli ya fukwe Zanzibar, kama wiki mbili zilizopita kuna dada mmoja raia wa Botswana ameolewa na Mromania mmoja walikuja huko Zanzibar basi nikwambia utaenda kutembea mainland Tanzania akashangaa sana na kusema ni wapi huko!!Da, Zanzibar walifahamikaje mkuu. au sultani anamkono wake. kwa nini sisi tunakuwa wa mwishomwisho tu.
kweli mkuu, masikini inabidi ukomae ujipendekeze na kujitangaza, ukisubiri ujulikane automatic utangoja sana.Mimi binafsi nimewahi kutana na watasha kibao Tanzania hawaijui...
wanaangalia penye maana. Kuna shemu hata usipopajua hupati shida.Basi hao watu ni wajinga sana,ina maana hata elimu ya jiographia hawana....kweli ulaya kuna wajinga wengi.... nenda tz muulize mtoto yyte wa darasa la sita Panama ipo wp? ama Kisiwa cha Cyprus watakwambia....