October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Wewe nawe toka mwanzo umeng'ang'ania vivutio wapili tu toka mwanzo.tunaridhika na millioni kwa mwaka, huku tukiwa wa pili duniani kwa vivutio vya hao watalii.
huoni kuwa huku kitofahamika kunaweza kuwa sababu ya millioni badala ya mamillioni ya watalii.
mfano Ufaransa zaidi ya milioni 80.
mwaka 2015 tu moroco zaidi ya 10Mil na tanzania haikuwa hata kwenye kumi bora kutembelewa kwa mujibu wa mtandao wa wikipedia.
au zile takwimu sisi ni wa pili kwa vivutio ni za kisiasa. Kama ni kweli basi kuna somo hapo na vitu vya kuboresha mkuu.