Kumbe Tanzania siyo Maarufu kihivyo kama tunavyokaririshana

Suala kwamba Tanzania hatujulikani ni proven fact. Inawezekana ni njama ila hiyo ni mada nyingine kabisa. Fungua tu simu yako, nenda kwenye Clock, fungua World Clock, angalia kama nchi ya Makonda ipo!

Inasikitisha sana pale inapobidi uset saa, mashine au software yako, inabidi uweke kwamba upo Nairobi au Baghdad kwa sababu hakuna mji wa Tanzania uko kwenye list. Hili linasikitisha sana.

Ila kwa tuliobahatika kupangusapangusa macho tunajua Dar es Salaam ni mji mmoja wa ovyo sana!! Respect is earned!
 
namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika

Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.

Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbongo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maeneo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.

Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.
Hao wote wasioijua Tanzania ni WAPUMBAVU NA WASHAMBA. Dunia hii ya smartphones zenye maps bado lifala fulani linasema eti halijui Tanzania ipo wapi shubaamit!

Nina hamu ya kukutana na mtu wa aina hio uso kwa macho nimpe ukweli wake.

We mtoa post pia haupo sawa kwa kujidhalilisha na kuiponda nchi yako.
 
Mimi simu yangu Huawei mpaka mji wa Dodoma upo. Hio kuweka Nairobi au Bagdad kwenye Time Zones sio ishu na hawaweki kila mji kwenye eneo hilo.
Mbona ukifungua location Tanzania ipo sasa unasemaje ni proven fact kwamba hatujulikani. Wewe ndio walewale tu
 
siipondi nchi yangu. maana ndio mahala pekee ninapopakubali dunia nzima.
Hoja yangu ni kwamba Lazima tujitangaze.
Tusitegemehe kufahamika kwa wazungu ambao hawana huo Muda bila sisi kujifahamisha kwao.
Kama nchi hii na mazuri yake, ingekuwa inafahamika kila kona kwa viwango vyake watu wangeigombania kuja kutalii,kuwekeza hata kuishi.

unadhani kwa nini.,
Kenya walikuwa wanaandika mlima kilimanjaro uko kwao.
Unadhani kwa nini zanzibar inafahamika kuliko bara.
Serengeti kenya.
Wamasai Kenya.
Tanzanite kenya/SA/India hata mkuu wetu huwa anazungumzia.
Unadhani kwa nini Yule dada alidiriki kudanganua UN kuwa Oldvai Gourge iko Kenya.
etc
Hii inaonyesha na sisi kwa upande flani tulikuwa tumelala.

Ukweli sio kujidharirisha, tena ukweli huo tukiujadili watanzania humuhumu.

TUJITANGAZE KWA NGUVu. Sio wote watakaa googlemap kutafuta tanzania kama hawajafahamishwa tanzania ina nini cha maana.

Mfano mzuri tunaambiwa ni ya pili duniani kwa vivutio vya utalii. Kwa nini sio ya Pili duniani kwa kufahamika Kiutalii na kutembelewa kama china au Brazil au Morrocco.
Kuna sehemu panahitaji kuwekwa sawa zaidi japo kwa sasa tunajitahidipo.
 
Somo la jogorafii hawana!!!

Masikini watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii ambayo inawakandamiza maslahi yenu yapo yanatumika kuwanunua hawa matapeli wa siasa.

Sintowaangusha!!
 
Huo ni ushamba na upumbavu wa hao watu. Sisi tunapata watalii almost milioni kila mwaka.
 
Mimi simu yangu Huawei mpaka mji wa Dodoma upo. Hio kuweka Nairobi au Bagdad kwenye Time Zones sio ishu na hawaweki kila mji kwenye eneo hilo.
Mbona ukifungua location Tanzania ipo sasa unasemaje ni proven fact kwamba hatujulikani. Wewe ndio walewale tu

Mimi simu yangu Huawei mpaka mji wa Dodoma upo. Hio kuweka Nairobi au Bagdad kwenye Time Zones sio ishu na hawaweki kila mji kwenye eneo hilo.
Mbona ukifungua location Tanzania ipo sasa unasemaje ni proven fact kwamba hatujulikani. Wewe ndio walewale tu

Unachobisha ni nini sasa wakati wote tunakupa FACTS? Hata mtoa mada amekutajia watu ambao wamekutana na ukweli huo huo? Kukataa hakubadilishi kitu, suala ni kubadilika na kujiweka kwenye position ya kuheshimika. Kujidanganya hakusaidii kitu, nadhani hiyo ndiyo point ya mleta mada.

Wakati huo huo sijafuta kabisa uwezekano kwamba kutojulikana kwetu kuna element ya njama au chuki ila bado na sisi ufanisi wetu hautuweki pazuri kupambana na hizo njama/chuki (kama zipo).
 
Huo ni ushamba na upumbavu wa hao watu. Sisi tunapata watalii almost milioni kila mwaka.
tunaridhika na millioni kwa mwaka, huku tukiwa wa pili duniani kwa vivutio vya hao watalii.
huoni kuwa huku kitofahamika kunaweza kuwa sababu ya millioni badala ya mamillioni ya watalii.
mfano Ufaransa zaidi ya milioni 80.
mwaka 2015 tu moroco zaidi ya 10Mil na tanzania haikuwa hata kwenye kumi bora kutembelewa kwa mujibu wa mtandao wa wikipedia.

au zile takwimu sisi ni wa pili kwa vivutio ni za kisiasa. Kama ni kweli basi kuna somo hapo na vitu vya kuboresha mkuu.
 
Unachobisha ni nini sasa wakati wote tunakupa FACTS? Hata mtoa mada amekutajia watu ambao wamekutana na ukweli huo huo? Kukataa hakubadilishi kitu, suala ni kubadilika na kujiweka kwenye position ya kuheshimika. Kujidanganya hakusaidii kitu, nadhani hiyo ndiyo point ya mleta mada.

Wakati huo huo sijafuta kabisa uwezekano kwamba kutojulikana kwetu kuna element ya njama au chuki ila bado na sisi ufanisi wetu hautuweki pazuri kupambana na hizo njama/chuki (kama zipo).
asante. wakizidiwa watasingizia sio mzalendo, na siipendi nchi yangu.
tutahamia chitchat tuendelee kuuziana chai, ili wabaki wazalendo wafurahishane,
 
siipondi nchi yangu. maana ndio mahala pekee ninapopakubali dunia nzima.
Hoja yangu ni kwamba Lazima tujitangaze.
Tusitegemehe kufahamika kwa wazungu ambao hawana huo Muda bila sisi kujifahamisha kwao.
Kama nchi hii na mazuri yake, ingekuwa inafahamika kila kona kwa viwango vyake watu wangeigombania kuja kutalii,kuwekeza hata kuishi.

unadhani kwa nini.,
Kenya walikuwa wanaandika mlima kilimanjaro uko kwao.
Unadhani kwa nini zanzibar inafahamika kuliko bara.
Serengeti kenya.
Wamasai Kenya.
Tanzanite kenya/SA/India hata mkuu wetu huwa anazungumzia.
Unadhani kwa nini Yule dada alidiriki kudanganua UN kuwa Oldvai Gourge iko Kenya.
etc
Hii inaonyesha na sisi kwa upande flani tulikuwa tumelala.

Ukweli sio kujidharirisha, tena ukweli huo tukiujadili watanzania humuhumu.

TUJITANGAZE KWA NGUVu. Sio wote watakaa googlemap kutafuta tanzania kama hawajafahamishwa tanzania ina nini cha maana.

Mfano mzuri tunaambiwa ni ya pili duniani kwa vivutio vya utalii. Kwa nini sio ya Pili duniani kwa kufahamika Kiutalii na kutembelewa kama china au Brazil au Morrocco.
Kuna sehemu panahitaji kuwekwa sawa zaidi japo kwa sasa tunajitahidipo.
Tanzania kaja Clinton kaja Obama kaja Xi Jinping je wakija hao bado nvhi haijulikani tu? Kujua wanaijua sana ila hawataki kukiri. Wewe acha kubabaika na vineno vya watu wachache kwamba haijulikani.

Haijulikani vipi wakati rasilimali zetu wanazikimbilia. Fungua ufahamu
 
namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika

Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.

Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbongo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maeneo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.

Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.
Ni ukweli mtupu Mimi 2011 niloenda UK niliishi mji uitwao Hereford upo kusini magharibi mwa London,Nilivyojitambulisha natokea Tz walikua hawajui Tanzania ni wapi!, wengi wanajua kenya ,South Africa ,Nigeria, Uganda,Zimbabwe,Ghana
 
Sio ajabu. Watu wengi wa nje wanaifahamu Afrika.
Hata wewe hapo, Marekani ni muunganiko wa nchi kama 50 hivi. Lakini sidhani kama unazifahamu nchi zote zaidi ya Marekani kama Marekani.
Russia, ni muunganiko wa vi nchi vingi, ila sana sana wewe utakuwa unaifahamu Moscow.
China vile vile, ni muunganiko wa nchi nyingi but wewe utakuwa unaifahamu Shanghai na Hong Kong.
Ulaya pia sidhani kama unazifahamu nchi zote. Kuna nchi ukitajiwa majina unabaki unashangaa!
Lithuania haujiu huyo
 
Ni uchache wa elimu,kushindwa kutambua masuala ya kimataifa.Huyo asiyetambua kuwapo kwa Tanzania,ndio wa kumuonea huruma,ni kwamba hata kusoma ramani ya dunia hajui au hatambui kama kuna ramani ya dunia.
we nchi unazijua mkuu watu wanasaka hela sio shithole countries kama yako (by Trump)
 
Da, Zanzibar walifahamikaje mkuu. au sultani anamkono wake. kwa nini sisi tunakuwa wa mwishomwisho tu.
Kwa sababu iliitawala Tanganyika,hivyo wao wanajua yote hii ni Zanzibar. Ilikuwa yao wakiuza wakakaa vyao!!
 
Hao wote wasioijua Tanzania ni WAPUMBAVU NA WASHAMBA. Dunia hii ya smartphones zenye maps bado lifala fulani linasema eti halijui Tanzania ipo wapi shubaamit!

Nina hamu ya kukutana na mtu wa aina hio uso kwa macho nimpe ukweli wake.

We mtoa post pia haupo sawa kwa kujidhalilisha na kuiponda nchi yako.
Umechanganya vitu viwili tofauti hata wewe nikikwambia Telasa ipo wapi hujui utashangaa ila tukiendelea na convo utaijua kwa kuongea na ku-google lakini point ya msingi kwamba nilivyokwambia uloshangaa.
 
Back
Top Bottom