Kumbe Tanzania siyo Maarufu kihivyo kama tunavyokaririshana

halafu kitu kingne walio nje ya africa wanatazama bbc na redio zingne ivyo haimpi shida kuijua tanzania
Kabisa mkuu BBC, CNN huwa wanaonyesha mambo mabaya ya Africa ka vita na umaskin, njaa mazuri hawaonyeshi sasa wakifika huku wa nashangaa kuwa watu wa naishi vzuri kwenye makazi ya kawaida. So western medias nazo zinaharibu image ya Africa
 
Kutokujua Tanzania ni nchi ni uzembe wao wakutokusoma jiografia
Eti, wanajua Africa ni Nchi, na South Africa, ni mji mkuu.
Hata ndani ya Dunia hii tunayodai ipo kiganjani, Basi hao Wazungu nao Mazuzu kweli.
 
Kabisa mkuu BBC, CNN huwa wanaonyesha mambo mabaya ya Africa ka vita na umaskin, njaa mazuri hawaonyeshi sasa wakifika huku wa nashangaa kuwa watu wa naishi vzuri kwenye makazi ya kawaida. So western medias nazo zinaharibu image ya Africa
wanafanya ivyo kwa sababu tunajikomba
 
Kuna rafiki yangu alienda USA kikazi, akaulizwa na bilionea mmoja mkubwa huko US kuwa mji mkuu wa Africa ni upi akasema ni S.Africa wengi wanajua Africa ni nchi
 
May be you lacked confidence when you were introducing yourself to the mentioned countries. Tanzania is well known all over the world. Be proud of your country jamani.
hiyo ni assumption or fact?
kusema hivyo siyo siipendi. unanichoshesha mkuu.

Pia mimi sio sehemu ya hao jamaa. Umepewa mfano.
 
Kabisa mkuu BBC, CNN huwa wanaonyesha mambo mabaya ya Africa ka vita na umaskin, njaa mazuri hawaonyeshi sasa wakifika huku wa nashangaa kuwa watu wa naishi vzuri kwenye makazi ya kawaida. So western medias nazo zinaharibu image ya Africa
BBC za wazungu hawaonyeshi mambo yetu labda BBC swahili.
Hivyo sijui hizo habari zinazotuĥsu watazipataje huko ulaya vijijini.
 
Kuna rafiki yangu alienda USA kikazi, akaulizwa na bilionea mmoja mkubwa huko US kuwa mji mkuu wa Africa ni upi akasema ni S.Africa wengi wanajua Africa ni nchi
watu wanadhani dunia nzima inamtaala mmoja wa somo Maarifa ya jamii au jiografia. Sio lazima watu wajue kila kitu.
ila sisi ni vizuri tuforce watujue ili tutangaze mambo yetu maana ni taifa changa na masikini.
 
Aisee huu sio uongo. Nlishawwhi kuishi nchi flani asia nikiwa masomoni. Siku moja nimeenda saloon wakaniuliza you come from southafrica, nikawambia no, Iam from Tanzania, jamaa wakashangaa sana hawaijui Tanzania
 
Ni vizuri kukubali ukweli. Ili tutumie muda mwingi kujitangaza sisi ni wakina Nani na tuna nini
 
kama ni bolivia ni sawa tu hata kama watajifanya kutoijua tz.

kuna vinchi tz haiwezi pata hasara yoyote kama raia wake hawaijui tz.

kwanza sidhani kama kuna hata ofisi za ubalozi wa bolivia nchini. kama upo basi leo ndio itakuwa mara yangu kwanza kufahamu hilo.

Screenshot_2018-09-05-20-37-02-371_com.opera.browser.jpg
 
kama ni bolivia ni sawa tu hata kama watajifanya kutoijua tz.

kuna vinchi tz haiwezi pata hasara yoyote kama raia wake hawaijui tz.

kwanza sidhani kama kuna hata ofisi za ubalozi wa bolivia nchini. kama upo basi leo ndio itakuwa mara yangu kwanza kufahamu hilo.

View attachment 858247
How u look that country and that country look TZ like that.
 
Back
Top Bottom