Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,231
Unajua Kakuma wewe?? watu wa huko nao wanajihisi wapo sehemu maarufu kumbe basi tuwilaya sawa mkuu, maana siku hizi kila siku zinaongezeka. Nchi hii na masifa yake yote kutokufahamika ni habari ya kusisimua.
Mbobwe napafahamu mkuu, masumbwe kule kote nimepita.
Itilima hadi makao makuu legangabilili kote huko nimefumua tena kwa baiskeli, nikianzia mwamapalala, nikikatiza nyamalapa nikikata kona pale Luguli Gineri na kunyooka hadi legangabilili mnadani.
ila ukinipeleka sijui njombe utanikamata tu kama abduli nondo. Huko niko shalo kinyama.