matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
flesh tu, kwani kuna tatizo mkuu wangu.Kwa hiyo?!!!!
wao wanadeal na mambo ya maana yenye faida kwao tu labda.Sasa huoni kuwa angalau sisi Tanzania tunajitambua kuliko hao mambugila.
Sisi tunajua mpaka Terra de Fuego.
Tujitahidi.Tushaanza kujitangaza kupitia dreamliner
hao ni haki yao. kwanza ni nchi ya pili kama sio ya kwanza afrika kuanza kuangalia TV colured.He he he he he
Cha ajabu Zanzibar huko nje ni maarufu Kuliko Tanzania.
sidhani kama kuna syrabus ya jiografia ya shuel zote duniani.Kutokujua Tanzania ni nchi ni uzembe wao wakutokusoma jiografia
tatizo.Kutofaham na mtu ni tatzo? Hao wengne had wanahamia walikujaje?
wilaya sawa mkuu, maana siku hizi kila siku zinaongezeka. Nchi hii na masifa yake yote kutokufahamika ni habari ya kusisimua.Wee mwenyewe hapo ulipo kuna wilaya za hapa Tanzania hata hujui ziko mkoa gani?
Kwa mfano nikikuuliza wilaya ya Mbogwe, Itimila hata hujui zilipo na uko hapa hapa Tanzania, sembuse wazungu huko ulimwengu wa juu !!!
Atakuwa aliongea na Vilazanamsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika
Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbogo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maendeo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.
Da, Zanzibar walifahamikaje mkuu. au sultani anamkono wake. kwa nini sisi tunakuwa wa mwishomwisho tu.Wewe unafikili South Africa ni simple simple tu. Kuna jamaa mmoja nilimwambia Tanzania akasema haijui hadi niliposema mlima Kilimanjaro ndipo akakumbuka,bora utaje Zanzibar