Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,231
Unajua Kakuma wewe?? watu wa huko nao wanajihisi wapo sehemu maarufu kumbe basi tuwilaya sawa mkuu, maana siku hizi kila siku zinaongezeka. Nchi hii na masifa yake yote kutokufahamika ni habari ya kusisimua.
Mbobwe napafahamu mkuu, masumbwe kule kote nimepita.
Itilima hadi makao makuu legangabilili kote huko nimefumua tena kwa baiskeli, nikianzia mwamapalala, nikikatiza nyamalapa nikikata kona pale Luguli Gineri na kunyooka hadi legangabilili mnadani.
ila ukinipeleka sijui njombe utanikamata tu kama abduli nondo. Huko niko shalo kinyama.
hahahahahaNI MAARUFU KWA KUWA NA RAIS WA KWANZA DUNIANI AMBAYE NI JIWE NA KICHAA. au umemaanisha umaarufu wa Insta?
hahahaWawe wanajitambulisha kuwa watokea nchi ambapo maalbino wanauawa
Kuna vingi vya maana kuanzia kwenye mbuga za wanyama ie Serengeti,Mikumi Gombe,Selous...nk kuna Mlima Kilimanjaro...kuna kisiwa cha Zanzibar kuna madini ya kila aina including Tanzanite ambayo inapatikana Tz peke yake....hao wasioijua tz labda sio wafanyabiasharawanaangalia penye maana. Kuna shemu hata usipopajua hupati shida.
Jiografia ya afrika na tanzania ilikuwa muhimu kwa mababu zao enzi wanatafuta rasilimali.
sasa hivi wanalia kivulini.
Tujitahidi kujitangaza na kujipendekeza ni aibu wakati mwingine. Kufa maskini na dhahabu mfukoni kisa hakuna anayejua kama unayo.
ajabu ipo labda kama unachungulia haungalii macho yote kama yangu.Sioni la ajabu hata hapa tu nchini watu hawapafahamu kwingine..
Kwa wao kufika huko na kujiongelea ndio wamechangia kuwafahamisha walioongea nao. Kesho kutwa wakikutana na Mtanzania mwingine atasema wanaijua nchi yetu..
Vitu vingine vinashangaza kuvisikia kama vile tumeajiri ndege wa angani warukao watutangazie nchi yetu..
tatizo ni masifa tunayojipa,Pia kuna watanzania kibao hawajui pia Bolivia iko wapi au nini. Kutokujua sehem nadhani ni ujinga wa mtu mwenyewe maana hufungwi kujua sehemu yeyote hapa dunian hata kwa kutumia Atlas.
cyprus anatakiwa afundishwe kanisani.Basi hao watu ni wajinga sana,ina maana hata elimu ya jiographia hawana....kweli ulaya kuna wajinga wengi.... nenda tz muulize mtoto yyte wa darasa la sita Panama ipo wp? ama Kisiwa cha Cyprus watakwambia....
siyo ajabu Zenji ni ya kitambo mno sio tz ya 61 tuHe he he he he
Cha ajabu Zanzibar huko nje ni maarufu Kuliko Tanzania.
HAPO PANAPOKUUDHI NDO MATOKEO YA UKICHAA WA RAIS WAKO..pia kheri ninaye tafuta ukoo wa baba maana siamini km mm ni mtanzania, maana sio kichaaa...baba akiwa kichaa lazima mtoto naye kichaaa..HIVYO ANZENI KITAFUTA ASILI ZENU MUAACHIE VICHAA NCHI YAO.hahahahaha
endelea kutafuta ukoo wa baba
hahaha
tunaambiwa mambo mengi tuko kumi bora duniani lkn dunia yenyewe haitujui, hapo ndio pananiuzi.
bora tungekuwa kamamsomaria hapo hata tukifa masikn swa tu.
mkuu hata mimi nilikuwa nimekariri hayo makitu hadi nilikuwa nakera.Siwezi kuona ajabu ya hilo . Ishu ni kwamba hawakufundishwa historia ya dunia nzima tangu wakiwa wadogo.
Walisoma zaidi historia ya nchi zao.
Ndomana sisi wabongo tunajua miji mikuu ya nchi zote, tunajua denmark ni maarufu kwa kufuga ngombe, australua kondoo. Jikubali mzeee na Tanzania yetu kuwa mzalendo.
wanatakiwa watujue kwa sababu moja tu.Kwani na wao wakiwa Tanzania wakafika mpaka usukumani maeneo ya malampaka wakajitambulisha wao wanatoka Ufaransa unadhani wataeleweka na wote,
Hata sisi tunawajua wao wote ni wazungu na mji wao mkuu ni Marekani!
Kwa sababu haina ishu yoyote.Mbona hapa bongo wasomi wengi tu hawajui kama kuna nchi kama kurdistan
Ni kweli kabisa kuna watu katika mataifa mengine hata Afrika hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania, lakini hilo sio kosa la Watanzania bali ni uzembe wa hao ambao hawajui kuwa kuna Tanzania. Nakumbuka kuna wakati nilienda Turkey (Uturuki), nikakutana na mtu njiani akaniuliza .......Nigeria ? nikamwambia No, Tanzania....nikaona anawaza sana, nikamwambia Kilimanjaro....akasema ahaa Yes, I know that. Hata hivyo, ni ushamba wake tu kufahamu Tanzania.namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika
Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbongo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maendeo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.
Mkuu kwani mtaala wa somo la Geographia unatolewa na UN?Basi hao shule zao zitakuwa hazijawasaidia chochote
Ina maana hawajafundishwa kuwa Dunia ina mabara mangapi.?
Ni hatari kwa mtu wa nje kuijua KILIMANJARO alafu asijue kama iko tanzania. Hii ni fursa kwa matapeli.Ni kweli kabisa kuna watu katika mataifa mengine hata Afrika hawajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania, lakini hilo sio kosa Watanzania bali ni uzembe wa hao ambao hawajui kuwa kuna Tanzania. Nakumbuka kuna wakati nilenda Turkey (Uturuki), nikakutana na mtu njiani akaniuliza .......Nigeria ? nikamwambia No, Tanzania....nikaona anawaza sana, nikamwambia Kilimanjaro....akasema ahaa Yes, I know that. Hata hivyo, ni ushamba wake tu kufahamu Tanzania.