henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,119
hapa ndo umenifanya nikupuuze kuna kombe la dunia kila michuano nchi kibao za Africa huwa zinaingia kwenye michuano[/QUOTE]Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
.
Wengi wanajua Kilimanjaro iko Kenya na kuna kipindi Wakenya wamekuwa wakitumia msemo.....Come to Kenya and see mount Kilimajaro jambo ambalo ni kweli kabisa kuwa ukiwa upande wa Kenya unaona mlima Kilimanajaro vizuri sana. Aidha, ndege za KQ zimeandikwa Kilimanjaro. Hata hivyo, hakuna tatizo, wanatusaidia kutangaza kivutio chetu cha utalii kwa sababu hakuna namna mtu anaweza kupanda mlima Kilimanjaro bila kukanyaga ardhi ya Tanzania, na kulipia malipo yote husika kwa hiyo wakati wakenya wakitangaza come and see......sisi tulikuwa tunatumia ...come and climb........Ni hatari kwa mtu wa nje kuijua KILIMANJARO alafu asijue kama iko tanzania. Hii ni fursa kwa matapeli.
Hivyo tanzania inapaswa kuwa chonjo mkuu.
hapa ndo umenifanya nikupuuze kuna kombe la dunia kila michuano nchi kibao za Africa huwa zinaingia kwenye michuano
Lakini wakitua kenya kwenye mnyororo wa pesa sisi tunapata mabaki.Wengi wanajua Kilimanjaro iko Kenya na kuna kipindi Wakenya wamekuwa wakitumia msemo.....Come to Kenya and see mount Kilimajaro jambo ambalo ni kweli kabisa kuwa ukiwa upande wa Kenya unaona mlima Kilimanajaro vizuri sana. Aidha, ndege za KQ zimeandikwa Kilimanjaro. Hata hivyo, hakuna tatizo, wanatusaidia kutangaza kivutio chetu cha utalii wetu kwa sababu hakuna namna mtu anaweza kupanda mlima Kilimanjaro bila kukanyaga ardhi ya Tanzania, na kulipia malipo yote husika kwa hiyo wakati wakenya wakitangaza come and see......sisi tulikuwa tunatumia ...come and climb........
Tunapaswa kutumia amani kuleta Utajiri, sio kuendeleza na kufuga ujinga mkuu..Tanzania ni kisiwa cha Amani, hilo linatosha©
TrueeeeHe he he he he
Cha ajabu Zanzibar huko nje ni maarufu Kuliko Tanzania.
Niko Brasil jamaa,wanajua Zanzibar ila tz hawajui, ukiwaambia nafahamu kisw watakuuliza ndo lugha gani,ukiwajibu hakuna matata mnajua utasikiaa oh yaaaa[emoji1]
Hao Wakenya wanajidanganya tu, hakuna mtalii anayepanga safari bila kufahamu anaenda wapi, wanasoma sana kwa hiyo hakuna asiyefahamu kuwa huo mlima uko Tanzania, kama nilivyosema hapo awali wasiofahamu kuwa kuna Tanzania ni wale wazembe ambao hawatakaa watoke nje ya nchi zao.Lakini wakitua kenya kwenye mnyororo wa pesa sisi tunapata mabaki.
Inatakiwa wapigwe marufuku wafute kabisa mambo ya mlima wetu kwenye ndege zao.
Ila poa tu, Usimwamshe aliyelala. Siku wakishiba wataandika "come to Kenya, we will introduce you to Tanzanians owners of Mount kilimanjaro"
Hata DRC kuna watu wamewekeza huko pamoja na misuko suko waliyo nayo.Tunapaswa kutumia amani kuleta Utajiri, sio kuendeleza na kufuga ujinga mkuu..
Wakati angola iko vitani kuna wawekezaji wengi sana waliwekeza huko kuliko hata kwenye amani yetu tanzania.
Tufahamike basi kama ni kisiwa cha amani. Hata hilo wazungu hawalijui mkuu.
duu!Niko Brasil jamaa,wanajua Zanzibar ila tz hawajui, ukiwaambia nafahamu kisw watakuuliza ndo lugha gani,ukiwajibu hakuna matata mnajua utasikiaa oh yaaaa[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu na mimi naanza kukuelewa. Hata ukiangalia forums active za wazungu utakuta jukwaa la afrika na jukwaa la south afrika.Tusifichane ndugu, nchi za mbele Tz haijulikani kabisa. Hata wanaoujua mlima kilimanjaro ni wale wanaofanya utalii ila wale waliotulia nchini kwao hawaujui. Huku kwetu tunalishana matango kuwa sisi ni maarufu duniani.
kwa sababu wanajua wakiitaka wanaipata.Wazungu huwa hawana hajifunzi jiografia ya nchi zingine
wao wanatakiwa kukujua wewe kuliko wewe kuwajua mkuu. mwenyewe nchi za ajabuajabu nimezijulia world cup.Mimi mwenyewe hizo nchi ulizozitaja sizijui...HV ndio ziko wapi??
Kawaida tu, hata Sisi watanzania kuna nchi hatuzijui pia.namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika
Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbongo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maendeo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.