Kabisa mkuu BBC, CNN huwa wanaonyesha mambo mabaya ya Africa ka vita na umaskin, njaa mazuri hawaonyeshi sasa wakifika huku wa nashangaa kuwa watu wa naishi vzuri kwenye makazi ya kawaida. So western medias nazo zinaharibu image ya Africahalafu kitu kingne walio nje ya africa wanatazama bbc na redio zingne ivyo haimpi shida kuijua tanzania
Eti, wanajua Africa ni Nchi, na South Africa, ni mji mkuu.Kutokujua Tanzania ni nchi ni uzembe wao wakutokusoma jiografia
wanafanya ivyo kwa sababu tunajikombaKabisa mkuu BBC, CNN huwa wanaonyesha mambo mabaya ya Africa ka vita na umaskin, njaa mazuri hawaonyeshi sasa wakifika huku wa nashangaa kuwa watu wa naishi vzuri kwenye makazi ya kawaida. So western medias nazo zinaharibu image ya Africa
Hyo yote ni Ku tu undermine watu weusi kuwa hatufai tu. Yani hvo ni vyombo vya propaganda sema na sisi Africa tukiamua tunaweza kujikwamuawanafanya ivyo kwa sababu tunajikomba
soma tenaHao waliokuwa hawajui ni wale mazuzu au ni wale wazee walio zeeka..,
Kwani bibi yako anazifahamu hizo sehemu ulizotaja...?????
hiyo ni assumption or fact?May be you lacked confidence when you were introducing yourself to the mentioned countries. Tanzania is well known all over the world. Be proud of your country jamani.
BBC za wazungu hawaonyeshi mambo yetu labda BBC swahili.Kabisa mkuu BBC, CNN huwa wanaonyesha mambo mabaya ya Africa ka vita na umaskin, njaa mazuri hawaonyeshi sasa wakifika huku wa nashangaa kuwa watu wa naishi vzuri kwenye makazi ya kawaida. So western medias nazo zinaharibu image ya Africa
watu wanadhani dunia nzima inamtaala mmoja wa somo Maarifa ya jamii au jiografia. Sio lazima watu wajue kila kitu.Kuna rafiki yangu alienda USA kikazi, akaulizwa na bilionea mmoja mkubwa huko US kuwa mji mkuu wa Africa ni upi akasema ni S.Africa wengi wanajua Africa ni nchi
Mbona ni gerege imewekwaTushaanza kujitangaza kupitia dreamliner
Kumbuka mfumo wetu wa elimi ni wa mabepariWasiojua itakua hawajasoma somo la geography!!!!
KweliKumbuka mfumo wetu wa elimi ni wa mabepari
Ni vizuri kukubali ukweli. Ili tutumie muda mwingi kujitangaza sisi ni wakina Nani na tuna niniAisee huu sio uongo. Nlishawwhi kuishi nchi flani asia nikiwa masomoni. Siku moja nimeenda saloon wakaniuliza you come from southafrica, nikawambia no, Iam from Tanzania, jamaa wakashangaa sana hawaijui Tanzania
How u look that country and that country look TZ like that.kama ni bolivia ni sawa tu hata kama watajifanya kutoijua tz.
kuna vinchi tz haiwezi pata hasara yoyote kama raia wake hawaijui tz.
kwanza sidhani kama kuna hata ofisi za ubalozi wa bolivia nchini. kama upo basi leo ndio itakuwa mara yangu kwanza kufahamu hilo.
View attachment 858247