Usipende kudharau vitu vidogo kwani huwa vinaevolve na kureplace vacuumKuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.
Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.
Sina uhakika kama kakuelewaWako Sawa, fahamu kuna drug dealer wamejificha kwenye kichaka cha uchungaji, acha wafanyie kazi kauri yake, kama hana hatia maisha yataendelea na TRA wataachana nae, meantime tuwaache, sheria ipo na inamlinda kakobe
Unajua ni kwa nini hufunga maduka???Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....
Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake
Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Vichwa vyao vigumu Sana hawa watu, wametanguliza mihemuko tuSina uhakika kama kakuelewa
Baada ya hapo watampima mkojo,sjui sosonje kala maharage ya chato!!!!!!!yatakuwa aibu kama ya accacia na 700bKuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.
Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.
Hahaha ....duh ....wamesahau na fedha zilizoko MPESA,TIGOPESA N.K
Tena wamkwide huyo Kakobe mpaka akome kuropoka hovyo hovyo.Vichwa vyao vigumu Sana hawa watu, wametanguliza mihemuko tu
[emoji16][emoji16][emoji16], nachekea tumboni, tuone walio mtuma kama watamuokoaTena wamkwide huyo Kakobe mpaka akome kuropoka hovyo hovyo.
Mkuu ng'ombe afugie wap mapori yote walishachukua wnyw yaliobak n ya uyo mama(serkali) wanaemtukana kila ckuKakobe Kakobe nilijua kukaa kimya ulikuwa ushausoma kwamba utawala huu sio kama ule wa mchezo mchezo.
TRA wamemwandikia barua ya kumtega akiongopa hana akaunti tu, ndio tutamsikia amerudi kakonko anafuga ngombe
umejaaliwa haiba za kiserikali, na bila shaka wewe ni mserikalimods futa huu Uzi! mleta mada hana evidence ya maneno yake
Sasa unafikiri Kakobe ni muuza duka anawaogopa..... wacha waendelee kumfatilia afu yawakute no bila bila hiko....[emoji1] [emoji1] [emoji1]Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....
Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake
Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Burundi Hakuna Mkoa unaoitwa KigomaWanamtafuta Mkigoma huyo.