Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Zilianza kama tetesi: Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

IMG_20250204_232240.jpg
 
Hooooyooooo maji ya zam zam yameletwa na muarabu kwenye hiyo ndege mliosema mama awezi kutuletea neema tukufu ya maji ya zam zam ..mpo wapi 🤡🤡🤡 oohhhoooo hakuna muarabu mjinga wa kutupa maji matukufu ya zam zam kwa kumpa ngorongoro ... sasa maji si hayo lazima yapo kwenye hiyo ndege FaizaFoxy kuna neema huku ya maji
 
Naam, umeniita?

Tatizo nini?
Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu! Utanunuaje ndege inayotumiwa na matajiri duniani wakati wananchi wako hawana dawa mahospitalini (ARVs)?
Halafu unaileta ndege nchini kimya kimya! Unaficha nini kwa wananchi?
Hawa ndio Trump anawananga kila siku lakini kwa upumbavu wao hawaelewi!! Ananunua ndege leo kesho anakwenda na hiyo ndege kutembeza bakuli !!
Huyu bibi hizo hela za ndege zitakuwa ndio zile za kutoka kwenye mkataba wa bandari na Adani Group!! Nchi nyingi ikiwemo Kenya zilivunja mikataba na Adan Group because of corruption, lakini Huyu bibi mzee akakomaa kuwa havunji mkataba ingawa kampuni ya Adan ilishutumiwa kwa kuhusika na utoaji rushwa!! Samia anaitoa wapi jeuri hii?
 
Sijui ni kipande gani tena cha ardhi kitakuwa kimeuzwa masikini Tanganyika!
Ukiyatafakari Sana mambo yanayofanywa na Watawala wa nchi za Afrika unaweza kufa ghafla kwa high blood pressure. Ili uweze kuishi kwa amani na furaha katika maisha yako ni vyema Sana ukaacha kufuatilia Mambo yao hao Watu
 
Back
Top Bottom