Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

kipaukbele chake ni yeye kuishi maisha ya kifahari na sio kuwasaidia watanzania maskini
 
Kama ana uwezo wa kununua ndege kimya kimya atashindwaje kuchota maburungutu ya pesa kutumia yeye na familia yake?
 
Ila wajawazito masikini wakazalishwe na waume zao! CCM kweli kiboko, maana hata wanaojiona wajanja wanaimbishwa mama mama. Sio wabunge, mawaziri mpaka maofisa wa jeshi na polisi wakishindana na waliolaaniwa kwa uchawa kama Mwijaku, babalevo nk.
Hata humu JF wako kibao! Aibu!
 
Aliyetoa wazo la kumfanya kuwa mgombea mwenza wa Magufuli na yule aliyetoa wazo kumpitisha kinyume cha utaratibu juzi kule Dodoma wote walaaniwe pamoja na vizazi vyao.
 
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February.

Wengi wamekuwa wakidhani ndege hii ni ile aliyokaicha Hayati Benjamin Mkapa ila ndege aliyokaacha Mzee Mkapa ilikuwa na usajili wa 5H-ONF aina ya Gulfstream G550View attachment 3237093View attachment 3237094
Umma upi???
 
😇Kununua usafiri wa Viongozi inahitajika consent ya wananchi?
wabunge, kwa niaba yetu walipitisha bajeti, including ununuzi wa ndege etc, mnadai mhusishwe ununuzi wa ndege kwa platform gani zaidi ya Bunge?
 
Ndiyo!.

Wakati late BWM anataka kununua 'like' alisemaje kabla?
Bunge si ndyo wawakilishi wetu?, so unataka serikali ije kwa wananchi na ku endesha referendum/kura ya maoni, kama ndege inunuliwe au isinunuliwe, kwa makundi yote ya wananchi?😇
 
Bunge si ndyo wawakilishi wetu?, so unataka serikali ije kwa wananchi na ku endesha referendum/kura ya maoni, kama ndege inunuliwe au isinunuliwe, kwa makundi yote ya wananchi?😇
Nimekuuliza swali nataka jibu ili elimu tutakayopeana hapa iwe 💯 ✓
 
Back
Top Bottom