ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hapana hiyo ni mali ya umma. Na uma lazima ujulishweMama etu anaupiga mwingi, now ni kimya kimya🥰
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hiyo ni mali ya umma. Na uma lazima ujulishweMama etu anaupiga mwingi, now ni kimya kimya🥰
Acha majingaHaters bwana mna kazi aisee, kamanda naona ushashusha bonge la essay bila kusubiri kujua vizuri kwanza.......
Hiyo kanunua Samia mwenyewe binafsiKwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February.
Wengi wamekuwa wakidhani ndege hii ni ile aliyokaicha Hayati Benjamin Mkapa ila ndege aliyokaacha Mzee Mkapa ilikuwa na usajili wa 5H-ONF aina ya Gulfstream G550View attachment 3237093View attachment 3237094
Mama yenu kasgikiwa akili zake na Waziri RajabuKwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February.
Wengi wamekuwa wakidhani ndege hii ni ile aliyokaicha Hayati Benjamin Mkapa ila ndege aliyokaacha Mzee Mkapa ilikuwa na usajili wa 5H-ONF aina ya Gulfstream G550View attachment 3237093View attachment 3237094
Mama amejitahidi sana kufanya maboresho ya usafiri wa Viongozi wa VIPHiyo kanunua Samia mwenyewe binafsi
Siyo aliyojaiacha we mmajonde bali aliyoiacha, mkapa alinunua ndege mbovu,si wajua serikali yake ilijaa ufisadu,ndege mbovu,rada mbovu, mikataba ya kimangungoKwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February.
Wengi wamekuwa wakidhani ndege hii ni ile aliyokaicha Hayati Benjamin Mkapa ila ndege aliyokaacha Mzee Mkapa ilikuwa na usajili wa 5H-ONF aina ya Gulfstream G550View attachment 3237093View attachment 3237094
hizo siyo anasa, ni stahiki za kawaida kwa hadhi yakeRais huyu anapenda anasa sana kuliko uwezo wa Nchi.
Ata ndiyo nini we nyang'au!Wengine wanajua kabla ya wananchi kufahamu, hii inamaanisha ata kama ningekikuta sehemu ndani ya Tanzania ningesema nimeokota ndege kwani siyo mali Tanzania.