Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu! Utanunuaje ndege inayotumiwa na matajiri duniani wakati wananchi wako hawana dawa mahospitalini (ARVs)?
Halafu unaileta ndege nchini kimya kimya! Unaficha nini kwa wananchi?
Hawa ndio Trump anawananga kila siku lakini kwa upumbavu wao hawaelewi!! Ananunua ndege leo kesho anakwenda na hiyo ndege kutembeza bakuli !!
Huyu bibi hizo hela za ndege zitakuwa ndio zile za kutoka kwenye mkataba wa bandari na Adani Group!! Nchi nyingi ikiwemo Kenya zilivunja mikataba na Adan Group because of corruption, lakini Huyu bibi mzee akakomaa kuwa havunji mkataba ingawa kampuni ya Adan ilishutumiwa kwa kuhusika na utoaji rushwa!! Samia anaitoa wapi jeuri hii?
Haters bwana mna kazi aisee, kamanda naona ushashusha bonge la essay bila kusubiri kujua vizuri kwanza.......
 
Kumchukia mwizi wa maliasili ya nchi ni thawabu!
Mtaoshia hivyo hivyo.
Thawabu humstawisha mtu, Sasa mbona nyie hamstawi.....mnazidi kuchakaa Huku mumchukiae na mnae,uombea mabaya anazidi kung'aa siku baada ya siku. Kuna kitu hapo kwa mwenye akili.

Hv Sasa mnaitwa nyumbu wa lissu ee?!!!
 
Naam, umeniita?

Tatizo nini?
Nime ghairi kusilimu ...baada ya waislamu kushindwa kunijibu maswali yangu mepesi ...je nikiuliza maswali magumu sindiyo mtakimbia kabisa ...ninayo maswali magumu ambayo sijawai kuwauliza waislamu hapa JF hata moja haya ninayo uliza ni mepesi ila hata haya amuwezi kunijibu ....maswali makubwa niliwai kuwauliza mashekh 6 ... hadi leo wamepoteza imani na tumaini ndani ya dini ya uislamu.
 
Back
Top Bottom