Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Wakati huu tukisubiri kupata chakula cha jioni Dj tusindikizie na wimbo

Kimya Kimya
Song by Jay Moe
 
Hongera sana, nilikuwa najiskia vibaya Rais akitaka kuruka hapo USA tu alikuwa analazimika kupanda Emirates pamoja na abiria wengine
Mkuu, ina maana hujui lolote kuhusu ndege za serikali au umeamua tu kujiweka kihivyo?

Hongera ya nini?
 
HATA MKINUNA HATURUDISHI NDEGE 😂😂😂 POTELEA MBALI 🏌️ KWANI BEI GANI????
 
Ile ya enzi za Mkapa iliishia wapi? Kama sikusahau wananchi tuliambuwa tuwe tayari kula nyasi lakini lazima ndege hiyo inunuliwe!
 
Gulf Stream G700 kwa sasa bei yake ni Dollar milion 73 ukiongeza tax na gharama za kuiweka sawa na mambo ya security Ina fika 100 milion dollars, mtu mwingine anayetumia hii ndege ni billionaire businessman Jeff Bezos wa Amazon
 
The Gulfstream G700 has a whopping $75 million price tag. It is one of the most expensive jets in its class due to its technologically advanced systems and extraordinary flight capabilities. While the capital cost can be shared among fractional owners, the aircraft also has a hefty operating cost, which varies based on the usage.

Libertyjet.com shows that the annual operating costs of flying the Gulfstream G700 can be as high as over $3.25 million, depending on the usage. A G700 jet that is operated for 200 hours per year will incur an operating cost of $2.17 million. With an average cruising speed of 552 mph (x km/h), the jet can cost $19.69 per mile on average.

A Gulfstream Aerospace G700 flying over mountains.
Photo: Gulfstream Aerospace

The jet operating 400 hours annually can incur $3.36 million in operating costs. The jet can cost $15.21 per mile with the same average cruise speed. Notably, the fixed costs are more spread out with the 400-hour annual usage. As previously mentioned, these costs are only operating expenses and do not include the cost of capital.

Libertyjet.com provides a comprehensive breakdown of the operating costs of the Gulfstream G700 aircraft for both 200-hour usage and 400-hour usage. Apart from fixed costs and fuel costs, maintenance and handling costs are also estimated.
 
Back
Top Bottom