Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Kwani wakati ndege hii inanunuliwa mpaka tukaambiwa lazima inunuliwe pamoja na rada na tule hata nyasi na ilinunuliwa Kwa bilioni 44 rada 33 ulikuwa wapi
 
Mama anaishi KIMALKIA!
Mkilia njaa anawaambia wasaidizi wake WAWAPE KEKI!
 
Ukiyatafakari Sana mambo yanayofanywa na Watawala wa nchi za Afrika unaweza kufa ghafla kwa high blood pressure. Ili uweze kuishi kwa amani na furaha katika maisha yako ni vyema Sana ukaacha kufuatilia Mambo yao hao Watu
Kukaa kimya si mpaka uwe nacho,mwenye njaa kuna siku ataibuka tu maana hana cha kupoteza.
 
Mbona kandege kenyewe kadogo utafikiri ka celeb au mfanyabishara mkubwa
 
Sasa masikini Nini wakati hata kama raisi akitoka CDM itakuwa ndio Ndege yake
Sio Ndege ya Samia ni Ndege ya Raisi
Rais corrupt without any strategies to help the country! She is worthless as a leader!
 
Ina maana Mpina naye ametusaliti? Mbona hatujamsikia akipiga kelele?
 
Back
Top Bottom