... it makes sense; thank you!Ibara ya 40 (4)
SSH amechukua kijiti ikiwa imebaki miaka minne hivyo anastahili kuiita awamu yake ni ya sita kwakuwa hatoruhusiwa kugombea mara mbili.Lakini kama ingekuwa chini ya miaka mitatu angekamilisha kwanza awamu aliyoikuta (5) Alafu angeweza kuendeleza awamu yake.View attachment 2034057
Tanzania haikutawaliwa na wakoloni mzee hyo ni Tanganyika ambayo Nyerere aliiua na kuizika kabisaImeandikwa wapi tuna-refer Jima la Raisi? Na serikali za kikoloni mbona hatuzihesabu na ziiongoza hii nchi?Nadhani mpaka hapa utakuwa umeona umuhimu au logic ya hizi awamu kuwa defined tena baada ya nchi yetu kuwa huru vinginevyo hata awamu ya Nyerere sio awamu ya kwanza bali tutasema serikali ya kikoloni ndio awamu ya kwanza.
Serikali ya awamu ya tano haijamaliza muda wake ila Raisi aliyechaguliwa kuiongoza alifariki na katiba ikampa nafasi makamu wake kumalizia kipindi hicho akisha maliza kipindi hicho cha urithi atakuja na awamu yake hiyo ya sita kwa sasa anatumikia matakwa ya katiba ambayo anayajua na aliyajua pale tu alipokubali kushika nafasi hiyo na katika iliyaweka kwa makusudi hayo vinginevyo katiba ingetaka raisi akifariki kuitishwe uchaguzi mwingineIbara ya 40 (4)
SSH amechukua kijiti ikiwa imebaki miaka minne hivyo anastahili kuiita awamu yake ni ya sita kwakuwa hatoruhusiwa kugombea mara mbili.Lakini kama ingekuwa chini ya miaka mitatu angekamilisha kwanza awamu aliyoikuta (5) Alafu angeweza kuendeleza awam
Kwa maoni yangu awamu ni uchaguzi wa rais + rais mpya. Lazima vyote viende kwa pamoja.
... nyumbu mkuu akiwa polex2. Kabudi, waziri wa Katiba na Sheria, anasisitiza hii ni awamu ya 5! Tuna waziri wa Katiba asiyeijua Katiba?Kuna nyumbu hata katiba hawasomi wanasubiri tu kusikia kundi lao litasema nini ili nao waunge mkono 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Rais halali wa JMT anapatikana kwa njia mbili tu ambazo ni uchaguzi mkuu au (makamu) kuchukua hatamu baada ya rais kufa au kushindwa kuendelea kwa magonjwa. So Samia ni rais kamili na halali hata kama hakujafanyika uchaguziNo. Amechukuwa awamu ya Magufuli anamalizia japo ni rais kamili. Tulifanya ''uchaguzi'' wa kutafuta serikali ya awamu ya tano, na ndiyo iliyoko bado madarakani. Awamu nyingine inaanza 2025.
... kama nimemwelewa mdau; kwa mujibu wa Katiba, Rais mrithi atahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake endapo kipindi kilichobaki (cha urithi) ni chini ya miaka mitatu na atakuwa na haki ya kugombea vipindi viwili. Ila kama urithi utakuwa ni angalau miaka mitatu (Samia anaangukia hapa), ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu which means kipindi chake cha (awamu ya) kwanza (zaidi ya miaka mitatu) alishatawala.Serikali ya awamu ya tano haijamaliza muda wake ila Raisi aliyechaguliwa kuiongoza alifariki na katiba ikampa nafasi makamu wake kumalizia kipindi hicho akisha maliza kipindi hicho cha urithi atakuja na awamu yake hiyo ya sita kwa sasa anatumikia matakwa ya katiba ambayo anayajua na aliyajua pale tu alipokubali kushika nafasi hiyo na katika iliyaweka kwa makusudi hayo vinginevyo katiba ingetaka raisi akifariki kuitishwe uchaguzi mwingine
Chukua 21 gawanya kwa 5 unapata Awamu 4.1Nyerere aliyeoongoza Tanzania kwa miaka 21 akiwa na mawaziri wakuu na makamu rais tofauti alitawala kwa awamu ngapi?
Kwa nini?Hii ni awamu ya sita...
Kwa akili ya kawaida ukifanya hivyo maana yake unampa nafasi yule anayeshika kiti cha urais kugombea awamu tatu jambo ambalo si sawa.Hivyo katiba imeweka wazi ili anayeshika kiti cha urais baada ya mtangulizi kufariki atanbue kabisa kuwa yupo na awamu mbili tuSerikali ya awamu ya tano haijamaliza muda wake ila Raisi aliyechaguliwa kuiongoza alifariki na katiba ikampa nafasi makamu wake kumalizia kipindi hicho akisha maliza kipindi hicho cha urithi atakuja na awamu yake hiyo ya sita kwa sasa anatumikia matakwa ya katiba ambayo anayajua na aliyajua pale tu alipokubali kushika nafasi hiyo na katika iliyaweka kwa makusudi hayo vinginevyo katiba ingetaka raisi akifariki kuitishwe uchaguzi mwingine
Mimi iwe ya tano au sita kwangu sawa tu.Hoja ni kigezo gani kinatumika?Hii ni awamu ya sita...
Rais angejiuzuru aliyepokea angekua bado awamu wa tano...Mimi iwe ya tano au sita kwangu sawa tu.Hoja ni kigezo gani kinatumika?
Soma na Ibara ya 37(5) Mkuu utaona ulipochanganya mambo hizi Ibara zinahitaji kusomwa pamoja na ukiisoma 37(5) ndio utafuata hapo kwenye neno "bila kuathiri ibara ya 37..." Ina maana Ibara ya 37 kwenye hili swala ina nguvu kuliko hii ya 40(4)
Rais angejiuzuru aliyepokea angekua bado awamu wa tano...
Ila Rais alifariki ndiyo maana...
Pitia kwanza Ibara ya 37(5) Mkuu, kwa mujibu wa hii Ibara Samia anatekeleza awamu ya pili ya JPM. Ila hii Ibara imekaa vibaya sana na inayo nguvu ya kujitegemea.Ibara ya 40 (4)
SSH amechukua kijiti ikiwa imebaki miaka minne hivyo anastahili kuiita awamu yake ni ya sita kwakuwa hatoruhusiwa kugombea mara mbili.Lakini kama ingekuwa chini ya miaka mitatu angekamilisha kwanza awamu aliyoikuta (5) Alafu angeweza kuendeleza awamu yake.View attachment 2034057
Unauliza kitu ambacho kiko wazi? Ni awamu moja.
Hapa niko na wewe Mkuu, haieleweki haraka ila ndio Katiba inachosema Ibara ya 37(5) alafu inakurudisha Ibara ya 40 ukajichanganye [emoji23][emoji23][emoji23]Serikali ya awamu ya tano haijamaliza muda wake ila Raisi aliyechaguliwa kuiongoza alifariki na katiba ikampa nafasi makamu wake kumalizia kipindi hicho akisha maliza kipindi hicho cha urithi atakuja na awamu yake hiyo ya sita kwa sasa anatumikia matakwa ya katiba ambayo anayajua na aliyajua pale tu alipokubali kushika nafasi hiyo na katika iliyaweka kwa makusudi hayo vinginevyo katiba ingetaka raisi akifariki kuitishwe uchaguzi mwingine
Kwenye kumalizia muda wa mtangulizi Katiba haijataja muda uliobaki ila imeenda kutaja mambo ya muda uliobaki kwenye ishu za mrithi kutaka kugombea ndio hayo ya miaka zaidi ya mitatu kugombea kwa awamu moja ya miaka 5.... kama nimemwelewa mdau; kwa mujibu wa Katiba, Rais mrithi atahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake endapo kipindi kilichobaki (cha urithi) ni chini ya miaka mitatu na atakuwa na haki ya kugombea vipindi viwili. Ila kama urithi utakuwa ni angalau miaka mitatu (Samia anaangukia hapa), ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu which means kipindi chake cha (awamu ya) kwanza (zaidi ya miaka mitatu) alishatawala.
That means, kwa kuwa Samia anaangukia hapa, ana haki ya kujiita Awamu ya 6; hamalizii awamu ya mtangulizi wake bali ni awamu yake. In summary, chini ya miaka mitatu anamalizia awamu iliyopita; zaidi ya miaka mitatu ni awamu mpya!
Maana yake ni kuwa samia hataruhusiwa kugombea mwaka 2025 maana ndio mwaka wa mwisho kwa awamu ya tano