Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

Mzee wa kusawazisha, umesawazisha.
 
Mtu unapata kazi mkoa x kisa mazi anataka kuishi maisha ya mjini mjini analeta malingo niache kazi kisa papuchi na muonekano mzuri wa she hapana bora waniue
 
Hii kitu ni kweli mimi naburuzwa sana sikutegemea Kama Kuna siku itakua ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…