Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wanaume wanao legeza ni simps, una lower standards zako ili upate papuch, wakati mwanamke hana huruma, ukishindea kufikia vigezo utakuwa na bahati kama hata salam atapokeakwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu.
Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.