Kumbe ushamba bado unaendelea…

Kumbe ushamba bado unaendelea…

Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.

Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.

Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!

Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?

Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.

Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.

Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.

Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.

Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.

Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia [emoji848].

Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Waliomuita mshamba wanalamba asali ikulu!
 
Kwahiyo umewaandikia watu wa huko New Zealand habari kuhusu ndege ya mizigo ya Tz??!!
Watanzania wapo kila pembe ya dunia!

Na hata New Zealand wapo.

Hata Kilymandiaro wapo.
 
Waafrika washazoea kuvifanya vitu ordinary vionekane extra-ordinary...

Subiria na uzinduzi wa SGR utavyokuwa na mbwembwe...
Kama watu wanaenda kumpokea Zari, Wema Sepetu akienda Nairobi akirudi anapokewa na maua.
Tundu lissu anapokewa kwa mbwembwe.
Ije kua ndege.
Wadanganyika sijui tumelogwa wapi
 
Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.

Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.

Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!

Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?

Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.

Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.

Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.

Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.

Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.

Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.

Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Kunya anye kuku, akinya bata wanasema kaharisha...
 
Kama watu wanaenda kumpokea Zari, Wema Sepetu akienda Nairobi akirudi anapokewa na maua.
Tundu lissu anapokewa kwa mbwembwe.
Ije kua ndege.
Wadanganyika sijui tumelogwa wapi
Tanzania hii si mara ya kwanza kuwa na ndege zetu wenyewe.

Tulishakuwa na shirika la ndege hapo zamani ambalo lilikuwa na ndege kadhaa.

Sasa nini jipya hapa?
 
Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.

Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.

Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!

Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?

Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.

Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.

Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.

Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.

Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.

Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.

Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Nilitaka kuuliza swali hili hili. Ndege hiyo ya ya mizigo iliahidiwa na Magufuli mwaka 2019.
 
Akili zetu zimeganda kwenye mavitu vitu ambayo ni hatua ya pili baada kuupiga vita umasikini, uduni wa miundo mbinu kwa ujumla, ujinga, maradhi na kuimarisha utawala bora pia kuangalia katiba yetu kwa mapana kama inafaa au laa na bila kusahau kufyekelea au kupunguza kabisa ‘umimi’ wetu uliojificha ktk sura ya rushwa

Viongozi wetu wanajificha ktk ma vitu badala ya kuweka nguvu kwenye mifumo imara ambayo hasa itasaidia vizazi vyetu kuishi maisha huru na yenye heshima
 
Tatizo lilikua Magufuli. Shida ilikua ni Magufuli.

Magufuli alizibia wanaojiita wastaarabu/walamba asali ulaji hivyoikawa ni kumtukana kadri wawezavyo kwa kila alilokua analifanya.
Wahuni walikua wadogo kama piriton.

Mungu amlaze pema yule mzee aliwanyoosha mno.
 
This is way too much.. Unaonesha namna gani Mwafrika habadiliki na kuwa na ajili hata akiishi Ulaya miaka mia moja! Hii inadhihirisha wazi kuwa arguments zako hutawaliwa na chuki na mahaba na wala sio facts.
Wanasema Ukiihifadhi chuki moyoni, siyo tu itakunyima Uhuru wa mawazo bali itakudumaza akili, lakini pia inaweza kukuletea shida kwenye afya ya kimwili. Nmesikitika pia mtu anafrahi mwenzake kutangulia mbele za haki wakati sote Safari yetu ni moja.
 
Naunga mkono hoja. Sioni sababu ya mwananchi wa Katavi kufunga mtaa kwa sherehe kisa eti kanunua bodaboda

Huu ushamba muasisi wake ni jiwe. Alaaniwe huko aliko.
Hakika
 
Yaani Nyani Ngabu unajihoji sisi kwenda kushangaa ndege na wake zetu (mume wa mama naona haya maigizo hayawezi maskini wa Mungu). Mwisho wa akili zangu ilikuwa ile kuandamana kwenda kushuhudia kuanza kujaza maji bwawa la mwalimu nyerere!

Wanasema tembea ujionee!
 
Mi bado nasherehekea Membe kufa 🤣🤣😀

Watu wenye akili huwa hawasherehekei vifo vya watu bali, inapolazimika kwasababu fulani, watu huwa wanasheherekea kutokuwepo au kuondoka kwa maovu ya hao wahusika, mtu mwenye akili na tafakuri hawezi kusheherekea kifo cha mtu wakati yeye mwenyewe kifo hichohicho kitamkukumba na wala hajui kitamkumba vipi katika hali gani na wakati gani !!, kabla hujaandika jambo yakupasa utafakari.

Kumbuka watu wenye akili huwa hawasherekei vifo bali wanasheherekea ahueni au nafuu waliyopata wakati mtu au watu hao wanapokuwa, kwa njia yoyote, hawana mamlaka, nguvu nk ambazo wanapokuwa nazo ndizo huwa ni mateso kwa watu wengine.
 
Back
Top Bottom