UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Soma kama shairi ndiyo utaelewa vizuri bwasheeSorry umeongea nn mbona kama umbea tu hamna vina wala nukta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma kama shairi ndiyo utaelewa vizuri bwasheeSorry umeongea nn mbona kama umbea tu hamna vina wala nukta...
Ni mtani wake na "lile Lisukuma' kwa hiyo ameambukizwa usukumasukuma, aka ushamba wa kisukuma.Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.
Waliomuita mshamba wanalamba asali ikulu!Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!
Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?
Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.
Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.
Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.
Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.
Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.
Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia [emoji848].
Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Watanzania wapo kila pembe ya dunia!Kwahiyo umewaandikia watu wa huko New Zealand habari kuhusu ndege ya mizigo ya Tz??!!
Kama watu wanaenda kumpokea Zari, Wema Sepetu akienda Nairobi akirudi anapokewa na maua.Waafrika washazoea kuvifanya vitu ordinary vionekane extra-ordinary...
Subiria na uzinduzi wa SGR utavyokuwa na mbwembwe...
Saana yaani unatafuta usafiri au kujaza mafuta eti unaenda kupokea ndege,Nchi ya hovyooo hiiii
Kunya anye kuku, akinya bata wanasema kaharisha...Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!
Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?
Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.
Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.
Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.
Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.
Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.
Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.
Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Tanzania hii si mara ya kwanza kuwa na ndege zetu wenyewe.Kama watu wanaenda kumpokea Zari, Wema Sepetu akienda Nairobi akirudi anapokewa na maua.
Tundu lissu anapokewa kwa mbwembwe.
Ije kua ndege.
Wadanganyika sijui tumelogwa wapi
Nilitaka kuuliza swali hili hili. Ndege hiyo ya ya mizigo iliahidiwa na Magufuli mwaka 2019.Sabalkheri na msalkheri popote pale mlipo.
Imekuwa kitambo kidogo tokea tulonge.
Basi bana mi kwa ujinga wangu huu nikadhani kwamba ushamba ushamba uliondoka na Mwendazake!
Sasa Ngabu unazungumzia ushamba ushamba gani tena?
Ni ule ushamba ushamba wa kwenda kupokea ndege mpya.
Nilidhani Bi. Mdashi yeye ni mstaarabu. Nilidhani ye si mshamba kama lile Lisukuma lililoendazake.
Hamadi! Kumbe ndivyo sivyo.
Yeye na wenzake nao ni washamba tu. Washamba wa ndege.
Ndo nini sasa wote hao kwenda kurundikana sehemu moja eti kupokea dege la mizigo.
Kwani hawajawahi kuyaona madege? Si wanayapanda na kuruka nayo kila kukicha wakiwa wanaipuyanga dunia 🤔.
Ama kweli mtu unaweza ukamtoa shambani lakini huwezi kuutoa ushamba uliopo ndani mwake.
Jirani long time no see…Nilitaka kuuliza swali hili hili. Ndege hiyo ya ya mizigo iliahidiwa na Magufuli mwaka 2019.
Wahuni walikua wadogo kama piriton.Tatizo lilikua Magufuli. Shida ilikua ni Magufuli.
Magufuli alizibia wanaojiita wastaarabu/walamba asali ulaji hivyoikawa ni kumtukana kadri wawezavyo kwa kila alilokua analifanya.
Ngapi?!Tanzania hii si mara ya kwanza kuwa na ndege zetu wenyewe.
Tulishakuwa na shirika la ndege hapo zamani ambalo lilikuwa na ndege kadhaa.
Sasa nini jipya hapa?
Wanasema Ukiihifadhi chuki moyoni, siyo tu itakunyima Uhuru wa mawazo bali itakudumaza akili, lakini pia inaweza kukuletea shida kwenye afya ya kimwili. Nmesikitika pia mtu anafrahi mwenzake kutangulia mbele za haki wakati sote Safari yetu ni moja.This is way too much.. Unaonesha namna gani Mwafrika habadiliki na kuwa na ajili hata akiishi Ulaya miaka mia moja! Hii inadhihirisha wazi kuwa arguments zako hutawaliwa na chuki na mahaba na wala sio facts.
HakikaNaunga mkono hoja. Sioni sababu ya mwananchi wa Katavi kufunga mtaa kwa sherehe kisa eti kanunua bodaboda
Huu ushamba muasisi wake ni jiwe. Alaaniwe huko aliko.
Mi bado nasherehekea Membe kufa 🤣🤣😀