Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Labda alipanda mbegu zake kwakomagufuli aliziba mianya ya wahuni. waakaanza kumuita jina baya kwa sauti ili wamuue. nakweli wakafanikiwa. ila. damu yake. nambegu aloipanda kwa watanzania itamea hatumaye itaota mizizi ipo siku ambayo Haina jina. atatokeaa zaidi ya magufuli. nchi itasonga
Na msaikheri maana yake Nini? Unadhan wote tuko kwenye same time zone?
Haya jipigepige kifua usema hakika Mimi ni mkurupukaji naomba nipuuzwe milele
Hiyo kauli Rais Samia alishaomba radhi na akasema Mzee kapitiwa. Ajabu majitu yenye chuki Bado mmeibeba hiyo kauli Hadi Leo.Sijashangaa Membe kufa maana kufa ni sehemu ya viumbe hai wote.
Ila nimefurahi kwa sababu ‘wazuri’ hawafi 🤣🤣
Hatusahau sababu haikutoka bahati mbaya, pili yeye binafsi hakuomba radhi. Shortly ni picha halisi ya chuki kubwa kwa mwendazake.Hiyo kauli Rais Samia alishaomba radhi na akasema Mzee kapitiwa. Ajabu majitu yenye chuki Bado mmeibeba hiyo kauli Hadi Leo.
JPM alifia kwenye uongozi ndio maana ikawa news ila pensioner kufariki Kuna Nini Cha ajabu?
Bonge la point.Ushamba utaisha tutakapoingia awamu ya sita; hii ni awamu ya tano inaendelea.