Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".
Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"
Mimi nilidhani kuwa wana ucchungu wa kuchukua dola ili kuondoa madhaifu ya ccm na siyo kugawana nafasi za vyeo.