Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Mkuu, Chadema unawaonea tu kwa hoja hiyo au labda huwapendi tu, ila hicho kitu usemacho ndicho malengo ya wanasiasa.Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".
Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"
Mimi nilidhani kuwa wana ucchungu wa kuchukua dola ili kuondoa madhaifu ya ccm na siyo kugawana nafasi za vyeo.
Hizo hali bora za wananchi huwa ni matokeo tu, hasa baada ya wananchi wenyewe kuzidai ama kuizchukua kwa nguvu toka kwa hao wanasiasa.
Si unaona mtoto wa masikini, Mwigulu Nchemba ana uwezo hadi wa kumiliki timu soka kwa zaidi ya miaka mitano sasa na anazidi tu kunenepa.
Ova