Kumbe Viongozi wa CHADEMA mpo after vyeo vyenu na siyo hali bora ya Wananchi?

Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)

"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".

Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"
Ulielewa alichosema au umetafsiri ulivyotaka?
 
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)

"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".

Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"

Mimi nilidhani kuwa wana ucchungu wa kuchukua dola ili kuondoa madhaifu ya ccm na siyo kugawana nafasi za vyeo.

Walipoandamana kuhusu Hali ngumu ya maisha ulikuwepo?. Juzi walipotaka kuandamana kuhusu watu kupotea ulikuwepo?. Halafu unailaumu CHADEMA ambayo haina mamlaka sio bungeni Wala serikalini, ila CCM unaiona poa.
 
Kama kweli Lissu alisema hayo nitashangaa Sana maana Katiba Iko wazi kuwa Waziri Mkuu atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni.

Kwamba CHADEMA waliaminije kuwa watateuliwa kuwa Waziri Mkuu wakati Katiba Iko wazi?

Sidhani Kama Lissu alisema hivyo. Ni Kama juzi Mange Kimambi alivyosema Rais Samiah anamuandaa Abdul kuwa mkuu wa Majeshi.
 
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)

"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".

Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"

Mimi nilidhani kuwa wana ucchungu wa kuchukua dola ili kuondoa madhaifu ya ccm na siyo kugawana nafasi za vyeo.
Wawe Kwa maslahi Yako walikuzaa? By the way unataka wawe Kwa maslahi Yako kwani ya kwao nani atayalinda?

Ni upumbavu kutegemea mtu mwingine apambane na aumie Kwa Ajili Yako wewe umejiesha tuu.
20241113_111835.jpg
 
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)

"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".

Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"

Mimi nilidhani kuwa wana ucchungu wa kuchukua dola ili kuondoa madhaifu ya ccm na siyo kugawana nafasi za vyeo.
Duniani ni Tanzania pekee wananchi wanataka wanasiasa walete mageuzi bila wananchi kuwa mstari wa mbele.
 
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)

"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".

Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"

Mimi nilidhani kuwa wana ucchungu wa kuchukua dola ili kuondoa madhaifu ya ccm na siyo kugawana nafasi za vyeo.
Retired nini nilikueleza
 
Retired nini nilikueleza
KATIKA MARIDHINO, HAYO YA VYEO HAYAJAWAHI KUWA MARIDHIANO, MAY BE CCM WALI SUGGEST HIVYO KUWAGHIRIBU, NA SIDHANI KAMA WATU WENYE AKILI WALIKAA KWENYE MARIDHIANO WAKISUBIRI VYEO!
ALL IN ALL MIMI SIONI /SIKUONA TATIZO WAKATI ULE MAANA MTU AKISEMA NJOO TUJADILIANE UTOKE KATIKA MKWAMO A MAGUFULI, KAMA UMA AKILI HUTAKATAA, ILA UTAKUWA VERY CAREFUL KUONA KAMA KWELI HUYU ANA NI KWELI AU ANADANGANYA KUPOTEZA MUDA. HIVYO MBOWE WAS RIGHT TO DO AS HE DID! AMEONA KUWA KUMBE HAWA NI WAONGO, THEN NI KUANZA/KUENDELEZA MAPAMBANO .

NA HAYA MANENO MANENO IMESHAKUWA WAZI KUWA CCM HAIWEZI KUYASIKILIZA, NI KUTAFUTA WHAT NEXT ROUTE TO TAKE!
LISU NAYE AJE NA WHAT NEXT TO DO, NAYE HII MIKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI, KWA CCM IS NOT A "DEAL", CCM NI KUWAKABILI "KIJESHI", LABDA LUGHA HIYO WATAISIKIA. "KIJESHI VIPI, KILA MOJA ANAWEZA KUJA NA "KIJESHI" YAKE
 
Kama kweli Lissu alisema hayo nitashangaa Sana maana Katiba Iko wazi kuwa Waziri Mkuu atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni.

Kwamba CHADEMA waliaminije kuwa watateuliwa kuwa Waziri Mkuu wakati Katiba Iko wazi?
Wajinga ndio waliwao Amen
 
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)

"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".

Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"

Mimi nilidhani kuwa wana ucchungu wa kuchukua dola ili kuondoa madhaifu ya ccm na siyo kugawana nafasi za vyeo.
Kama unadhani wanasiasa wapo kukusaidia na kuboresha maisha na Hari ya nchi, umeishpotea bro, sio Afrika, ukitqka kujua siasa za, Afrika, cheki Kenya Pale.
 
Kama kweli Lissu alisema hayo nitashangaa Sana maana Katiba Iko wazi kuwa Waziri Mkuu atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni.

Kwamba CHADEMA waliaminije kuwa watateuliwa kuwa Waziri Mkuu wakati Katiba Iko wazi?
Hivi unajua elimu ya Mzee Mbowe ?
 
Walipoandamana kuhusu Hali ngumu ya maisha ulikuwepo?. Juzi walipotaka kuandamana kuhusu watu kupotea ulikuwepo?. Halafu unailaumu CHADEMA ambayo haina mamlaka sio bungeni Wala serikalini, ila CCM unaiona poa.
Wew hapo uliandamana?
 
Back
Top Bottom