Hali bora ya wananchi kwani wao ndio chama tawala?Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi:- (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".
Kwahiyo safu ya uongozi ya chaema iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"
Na wao wanawajibika mkuu kama watu walio kwenye siasa za nchi yetu!!Hali bora ya wananchi kwani wao ndio chama tawala?
Shule ulienda kusomea ujinga?
Kivipi? Yaani nchi inaongozwa vibaya na CCM halafu useme CHADEMA nao wanawajibika?Na wao wanawajibika mkuu kama watu walio kwenye siasa za nchi yetu!!
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".
Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"
Waliingizwa kingi....Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".
Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"
Kama kweli Lissu alisema hayo nitashangaa Sana maana Katiba Iko wazi kuwa Waziri Mkuu atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni.Waliingizwa kingi....
Kama wao hawatawajibika basi ni bora tujue hatuna vyama vya upinzani…ili tujue tuna chama kimoja tu…We unadhani ruzuku wanazochukua sio kodi zetu?!! Hiyo tu inawafanya wao kuwajibika.Kivipi? Yaani nchi inaongozwa vibaya na CCM halafu useme CHADEMA nao wanawajibika?
Aisee!!!
Unaliona leoMoja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".
Kwahiyo safu ya uongozi ya CHADEMA iliahidiwa kupata u bunge, uwaziri mkuu, n.k, halafu wakajikuta wanafumba "kalomo"
Kama kweli Lissu alisema hayo nitashangaa Sana maana Katiba Iko wazi kuwa Waziri Mkuu atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni.
Kwamba CHADEMA waliaminije kuwa watateuliwa kuwa Waziri Mkuu wakati Katiba Iko wazi?
Lakini CHADEMA hawana yote mawili...Waziri Mkuu atatoka ktk chama chenye wabunge wengi.
..au atakuwa mbunge wa kuchaguliwa anayeungwa mkono na wabunge wengi.
..Ccm huwa hawajifungi ktk vifungu vya katiba. Wakiandika kifungu kimoja, lazima waandike kingine cha kuwachomoa.
Ruzuku ndiyo inahusiana na kuwajibika? Haya tuje kwenye hiyo hoja yako ya ruzuku. Kati ya CCM na CHADEMA ni chama gani kati ya hivyo viwili kinachochukua ruzuku kubwa kuliko kingine?Kama wao hawatawajibika basi ni bora tujue hatuna vyama vya upinzani…ili tujue tuna chama kimoja tu…We unadhani ruzuku wanazochukua sio kodi zetu?!! Hiyo tu inawafanya wao kuwajibika.
Tafuta hotuba ya Mh Lissu usikilize achana na propaganda za waliochoka.Kama kweli Lissu alisema hayo nitashangaa Sana maana Katiba Iko wazi kuwa Waziri Mkuu atatoka kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni.
Kwamba CHADEMA waliaminije kuwa watateuliwa kuwa Waziri Mkuu wakati Katiba Iko wazi?
Mkuu Chadema ni chama cha siasa na chama cha siasa kinaundwa na wanachama,na hao wanachama kwa hapa Tanzania ni ndo sisi watanzania kwa hyo automatically inapaswa kuwajibika kwetu kwa kutupa uongozi thabiti na wenye uelekeo chanya kwenye maendeleo ya nchi yetu…mfano. Sera na dira zao kuhusu nchi yetu,kupika viongozi sahihi na wazalendo….But Sasahv hiki ni kama chama cha watu wachache na sio cha siasa tena..Ruzuku ndiyo inahusiana na kuwajibika? Haya tuje kwenye hiyo hoja yako ya ruzuku. Kati ya CCM na CHADEMA ni chama gani kati ya hivyo viwili kinachochukua ruzuku kubwa kuliko kingine?
Kwa kuwa CCM ndiyo inayochukua ruzuku kubwa kuliko CHADEMA basi yenyewe ndiyo inayowajibika kwa hatima ya Tanzania na siyo CHADEMA.
Umeandika bandiko reefu bila ya sababu. CHADEMA kwa kuwa haiongozi Dola hawajibiki Kwa watanzania wote isipokuwa Kwa wanachama wake pekee.Mkuu Chadema ni chama cha siasa na chama cha siasa kinaundwa na wanachama,na hao wanachama kwa hapa Tanzania ni ndo sisi watanzania kwa hyo automatically inapaswa kuwajibika kwetu kwa kutupa uongozi thabiti na wenye uelekeo chanya kwenye maendeleo ya nchi yetu…mfano. Sera na dira zao kuhusu nchi yetu,kupika viongozi sahihi na wazalendo….But Sasahv hiki ni kama chama cha watu wachache na sio cha siasa tena..