Kumbe Viongozi wa CHADEMA mpo after vyeo vyenu na siyo hali bora ya Wananchi?

Please give our heroes a break, ccm wapo after what! Tuanzie hapo!
Lisu ilikuwa auwawe kwa kupigsnia hii nchi! Mkapa, kikwete, Maghu, samia, wamelipa gharama gani zaidi ya kula bata kwa migongo yetu!
 
Kama unadhani wanasiasa wapo kukusaidia na kuboresha maisha na Hari ya nchi, umeishpotea bro.
Siyo wanasiasa pekee, Dunia nzima watu wote wapo kwa ajili ya maslahi yao. Unaweza kueleza ni kada gani ambayo watu wake wapo kwa ajili ya maslahi ya wengine na si kwa ajili maslahi yao?

Hakuna mtu yupo duniani kwa ajili ya maslahi ya mtu mwingine.

Hata wewe umeandika hiki ulichoandika kwa maslahi yako binafsi.
 
Vipi sisi tuliopo madarakani, tumewaletea hali nzuri za maisha.

Mi nadhani kila mtu anapambana kukabiliana na hali yake. Km ingekuwa ni kupambania wengine au kuleta usawa basi hata wabunge wanapomaliza miaka yao 5 na kupewa mamilioni wangekuwa wanaenda majimboni kwao na kuwagawaia wapiga kura wao wenye maisha magumu. Na hata mabonasi ya safari za viongozi yangesitishwa ili kusaidia maskini, watoto yatima, walemavu, wajane/wagane nk.
 
Nia ya Freeman Mbowe ya maridhiano ilikuwa njema kama ambavyo Mama Samia naye alikubaliana naye. Kilichovuruga ni watakavyeo ndani ya chama walioona nafasi zao zitakuwa hatarini na kumsababisha Mama abadilishe gia angani. Hapo ndipo Mama alipoonyesha uthaifu na hatakaa aaminike.
 
Ww ndio unajua leo pole
 
Wanadamu wote wanawaza kuhusu familia zao kwanza! Usije kuwaza kwamba kuna watu wanakuwazia wewe ondoa hiyo akili
 
Reactions: G4N
Jibu hoja,Mbowe anayo Elimu?
Elimu ni nini?

Maana Inawezekana hujui maana ya Elimu na ndiyo maana unauliza Elimu ya Mbowe.

Waingereza wanaposema kuna "formal education" na "informal education" wewe huwa unaelewa nini?

Watu msio na Elimu kama nyinyi ndiyo huwa mnaburuzwa na CCM kila siku๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†
 
Wanadamu wote wanawaza kuhusu familia zao kwanza! Usije kuwaza kwamba kuna watu wanakuwazia wewe ondoa hiyo akili
Na mtu asiyejiwazia kwanza yeye hawezi kuwawazia wengine.

Hata Yesu Kristo alisema mtu asiyejipenda yeye binafsi kwanza hawezi kupenda wengine. Ni ubwege kuwaza kuna mtu duniani anajali maslahi ya wengine tu bila ya kujali maslahi ya kwake kwanza.
 
Mbowe yupo kwenye kundi gani hapo๐Ÿ‘†๐Ÿผ
 
Na mtu asiyejiwazia kwanza yeye hawezi kuwawazia wengine.

Hata Yesu Kristo alisema mtu asiyejipenda yeye binafsi kwanza hawezi kupenda wengine. Ni ubwege kuwaza kuna mtu duniani anajali maslahi ya wengine tu bila ya kujali maslahi ya kwake kwanza.
Sahihi kabisa
 
Kwanza formal education imewasaidia nini nchi hii?
 
Sahih.
 
Niliwahi kusema humu Ndanj Lissu na Dizasta Vina ni kati ya Watanzania wachache tulio na akili timamu, Wengi wenu mnashida kidogo.
 
Mbona unapiga kelele! Kwani ukiandika kwa herufi ndogo bila ku shout hutasomwa?
 
Kivipi? Yaani nchi inaongozwa vibaya na CCM halafu useme CHADEMA nao wanawajibika?

Aisee!!!
Wengi wa machawa wa lumumba hawajui roles za vyama vya upinzani. Wao humsifia kiongozi wa upinzani akiisifoa serikali au akienda tofauti na wanachofikiria ni tofauti na wenzake
Wanamshangilia TAL kwakuwa amesema alichokisema. Ila ni wao waliomwita msaliti na hata kuomba asirudi na kutaka tusimchangie matibabu
Nani alimpora lisu ubunge wake na kwann?
 
Walipoandamana kuhusu Hali ngumu ya maisha ulikuwepo?. Juzi walipotaka kuandamana kuhusu watu kupotea ulikuwepo?. Halafu unailaumu CHADEMA ambayo haina mamlaka sio bungeni Wala serikalini, ila CCM unaiona poa.
Yeye anafikiria kazi ya kuleta hali bora ya mabadiliko tz ni ya Lisu na mbowe tu
Yaani wewe ulale na mkeo kwenu yombo vituka halafu lisu na mbowe wakupiganie never ever mzee. Hujaona Senegal, Botswana na hata Kenya tyu hapo?
 
Magufuli kiboko.Aliwatengenezea njaa kali mno kiasi kwamba sasa wanapokea mlungula na kutamani vyeo.
Angeendelea kuwepo chama kingekuwa mahututi kabisa.Maana hata ruzuku wangekuwa hawapati na wangeendelea na ajira za kubeba maboksi ughaibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ