Kumbe Viongozi wa CHADEMA mpo after vyeo vyenu na siyo hali bora ya Wananchi?

Mkuu, Chadema unawaonea tu kwa hoja hiyo au labda huwapendi tu, ila hicho kitu usemacho ndicho malengo ya wanasiasa.

Hizo hali bora za wananchi huwa ni matokeo tu, hasa baada ya wananchi wenyewe kuzidai ama kuizchukua kwa nguvu toka kwa hao wanasiasa.

Si unaona mtoto wa masikini, Mwigulu Nchemba ana uwezo hadi wa kumiliki timu soka kwa zaidi ya miaka mitano sasa na anazidi tu kunenepa.

Ova
 
Ndugu zangu kwa aanaehitaji kutembea Zanzibar anitafute

Kwa maelezo zaidi tuongee private
 
Walipoandamana kuhusu Hali ngumu ya maisha ulikuwepo?. Juzi walipotaka kuandamana kuhusu watu kupotea ulikuwepo?. Halafu unailaumu CHADEMA ambayo haina mamlaka sio bungeni Wala serikalini, ila CCM unaiona poa.
Sasa hayo uliyoyataja ndiyo yanatulizwa na vyeo walivyoahidiwa??
 
Magufuli kiboko.Aliwatengenezea njaa kali mno kiasi kwamba sasa wanapokea mlungula na kutamani vyeo.
Angeendelea kuwepo chama kingekuwa mahututi kabisa.Maana hata ruzuku wangekuwa hawapati na wangeendelea na ajira za kubeba maboksi ughaibuni.
Shida yenu hata haki mnafikiri hutolewa kwa hisani. Ruzuku ni haki kwa vyama na ipo kwa mujibu wa sheria. Vyama vingi vilianza 1992 wakati huo Magufuli anafindisha tuition ulishasikia vinanyimwa l vikinyimwa ruzuku?
Huyo Magufuli alikuwa chizi kama wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…