Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Mimi nakataa pia. Mwarabu hakuwa na baya. Hakufanya biashara ya utumwa. Mwarabu alileta tende ....watu tulikula tende miaka yake. Biashara ya utumwa iliendeshwa na wazungu peke yao. Ndo maana tunayapinga na mapinduzi ya zanzibar. Yale yaliletwa na kafir Okello na wenzie. Mwarabu alikuwa mtu poa kabisa. Hakuwa na baya. Wazungu na wakiristo wanaletea propaganda tu.
 
Kwani wewe ulilijibu swali langu , aliyekuambia walipelekwa uarabuni ni nani?
Usiulize swali jibu swali. Kama huna relevant information hata basic kama hizo kaa kimya, watajibu wenye uelewa. wako wapi Waafrika kwa maelfu waliopelekwa Asia kama watumwa? Zanzibar ilikuwa bandari kuu
 
Huyo ndiye aliyekuambia? Umeelekea Asia?
 
Vivuli vya zamani na baadhi ya waarabu vinatupa shida Sana wengine na tunajumuishwa kwenye misala mingi. Waswahili wamekuwa watu wa kuishi nasi kwa masahka sana. Yaani Ni vile
Tunaonekana wafiraji
Tunaonekana wabaguzi.
Tunaonekana watu dhulma.
Tunaonekana Magaidi.
Yani kila kitu kilicho rekodiwa hapo awali ni roadmap ya kutujaji na wengine.😔
 
Usiulize swali jibu swali. Kama huna relevant information hata basic kama hizo kaa kimya, watajibu wenye uelewa. wako wapi Waafrika kwa maelfu waliopelekwa Asia kama watumwa? Zanzibar ilikuwa bandari kuu
Mimi sina information ,wewe uliyenazo mbona hutuambii huyo aliyekuambia walipelekwa uarabuni na Sasa unatupeleka Asia?
 
Kama hujui kaa kimya, watakuja wajibu. Kwa hiyo Arabuni iko Ulaya?
 
Wewe unayejua mbona hutuambii huyo aliyekuambia walipelekwa uarabuni ni nani?
Usiulize swali jibu swali. Kama huna relevant information hata basic kama hizo kaa kimya, watajibu wenye uelewa. wako wapi Waafrika kwa maelfu waliopelekwa Asia kama watumwa? Zanzibar ilikuwa bandari kuu
 
Usiulize swali jibu swali. Kama huna relevant information hata basic kama hizo kaa kimya, watajibu wenye uelewa. wako wapi Waafrika kwa maelfu waliopelekwa Asia kama watumwa? Zanzibar ilikuwa bandari kuu
Si umeniambia mimi sijui? Wewe unayejua mbona unajamba tu , husemi alikuambia Nani kuwa walipelekwa uarabuni?
 
Daryl Davis- The solution for all racial discourse

In 1983, A chance occurrence after one of his performances led him to befriend a member of the Ku Klux Klan. This eventually led Daryl to become the first black author to travel the country interviewing KKK leaders and members, all detailed in his book, Klan-Destine Relationships. Today, Daryl owns numerous Klan robes and hoods, given to him by active members who became his friends and renounced the organization.

Since his journey began, Davis has joined an all-white country band, attended KKK rallies, and accepted a “certificate of friendship” from the Traditionalist American Knights of the KKK. He’s even the godfather of former Klan Imperial Wizard Roger Kelly’s granddaughter. Davis has received the Elliott-Black and MLK awards as well as numerous other local and national awards for his work in race relations, and is often sought by media outlets as a consultant on the KKK and race relations.

He is also an actor with stage and screen credits, appearing in the critically acclaimed HBO police drama, The Wire, and most recently, as the subject of the documentary Accidental Courtesy, which filmed his real life encounters with Ku Klux Klan and neo-Nazi leaders as he helps to dismantle racism across the United States.

Davis has received the Elliott-Black and MLK awards as well as numerous other local and national awards for his work in race relations, and is often sought by media outlets as a consultant on the KKK and race relations.

He is also an actor with stage and screen credits, appearing in the critically acclaimed HBO police drama, The Wire, and most recently, as the subject of the documentary Accidental Courtesy, which filmed his real life encounters with Ku Klux Klan and neo-Nazi leaders as he helps to dismantle racism across the United States

Source: TEDx Talks
 
Usiulize swali jibu swali. Kama huna relevant information hata basic kama hizo kaa kimya, watajibu wenye uelewa. wako wapi Waafrika kwa maelfu waliopelekwa Asia kama watumwa? Zanzibar ilikuwa bandari kuu
umeniambia mimi sijui? Wewe unayejua mbona unajamba tu , husemi alikuambia Nani kuwa walipelekwa uarabuni?
 
Mleta mada unaonekana ni mnazi wa wazungu labda nikuulize ni mkoloni gani kati ya mwarabu na mzungu alikuwa na makoloni mengi hapa duniani?

Je wazungu hawakufanya biashara ya utumwa? Leo hii America imekuwaje na kiasi kikubwa cha watu weusi wenye asili ya afrika?

Je wazungu walikuwa wakiwajali sana waafrika pindi walipokuwa wanatawala?
Mwambie meli zilizokuwa zimebeba watumwa zilibarikiwa huko Roma na papa zifike salama katika mataifa yao huko uzunguni maana ni Mali ghafi leo hawajui mzungu ni nani mpaka leo hii kesho na kesho kutwa ni wabaguzi na Bado wanaendelea kuwatwanga risasi waafrika Bado tu hawalioni na hawatakaa kuliona hili kweli ni mahaba haya ni sawa na mbwa kwa chatu huwa anajipeleka aliwe
 
Walau huko wapo wanaobaguliwa, lakini Arabuni hata wa kubagua hakuna. Wamekwenda wapi?
Picsart_22-09-29_07-24-49-924.jpg
 
Back
Top Bottom