Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024.
Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.