Kumbe Wadada Huwa Mkitongozwa Na Mtu Bitoz Huwa Hamkatai Ila Mkitongozwa Na.... Huwa Wepesi Kukataa

[emoji4][emoji4] nyauuuu..nimeipenda hii[emoji8][emoji8]
 
Tatizo huwa wakija mnawakataa na kukimbilia mabishoo.. kisa wana swaga, pamba kibao, club, starehe. Wenye malenfo ya kuwatunza wanaonekana washamba.. wanapigwa kibut
Sinaga interest na mabishoo yani hakuna viumbe vinavyonifanya nijihisi kivomit kama hao mbwea wanaojiita mabishoo..uwiiiii nina aleji jamani mimi na hao watu...ptuu!!
 
Tatizo huwa wakija mnawakataa na kukimbilia mabishoo.. kisa wana swaga, pamba kibao, club, starehe. Wenye malenfo ya kuwatunza wanaonekana washamba.. wanapigwa kibut
Alafu kingine katika vitu vilivyonipataga kushoto ni club..sinaga mzuka na club hadi rafiki zangu wananishangaaga...starehe yangu kubwa labda kwenda fukwe nishangae maji tu moyo wangu burudani...lakini sijui leo niko double tree kesho 4040 kesho kutwa sijui wapi...hapana hivyo vitu vipo kushoto namimi

Narudia tena kusema kua NAMBA 2 HAO NDIO WANAUME
 
Good!
 
Humu wako wengi tuu,na wanachangia Mada km hz ,ukikutana nao ndio unajua kuwa kumbe huyu wa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…