Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Na ndio maana kuna Mada za kitoto Toto,unabaki kusoma na kuacha tuKuna mwingine niliona akisema 2015 ndio alihitimu kidato cha nne. Kweli JF inashuka ubora wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio maana kuna Mada za kitoto Toto,unabaki kusoma na kuacha tuKuna mwingine niliona akisema 2015 ndio alihitimu kidato cha nne. Kweli JF inashuka ubora wake.
[emoji4][emoji4] nyauuuu..nimeipenda hii[emoji8][emoji8]Unazungumzia mademu ?? Mademu ndio wapo after Six packs, mavazi, viatu, minyoo ya nywele, miondoko. Pafyumu n.k.
Mwanamke yeye anataka mwaname
[emoji117]anayejiamin
Mwenye kumfanya ajihisi na salama
Funny
Mwanamme anayeamin ktk mafanikio
Hata km hana kitu lkn awe mwenye ndoto zakwamba ipo siku kupitia hiki nitatoboa.
N.k
Sasa hapa ndo ujue kuna mademu na wanawake.
Sinaga interest na mabishoo yani hakuna viumbe vinavyonifanya nijihisi kivomit kama hao mbwea wanaojiita mabishoo..uwiiiii nina aleji jamani mimi na hao watu...ptuu!!Tatizo huwa wakija mnawakataa na kukimbilia mabishoo.. kisa wana swaga, pamba kibao, club, starehe. Wenye malenfo ya kuwatunza wanaonekana washamba.. wanapigwa kibut
Alafu kingine katika vitu vilivyonipataga kushoto ni club..sinaga mzuka na club hadi rafiki zangu wananishangaaga...starehe yangu kubwa labda kwenda fukwe nishangae maji tu moyo wangu burudani...lakini sijui leo niko double tree kesho 4040 kesho kutwa sijui wapi...hapana hivyo vitu vipo kushoto namimiTatizo huwa wakija mnawakataa na kukimbilia mabishoo.. kisa wana swaga, pamba kibao, club, starehe. Wenye malenfo ya kuwatunza wanaonekana washamba.. wanapigwa kibut
Sio tu suruali kuna hereni na lipshine na poda piaNikuambie tuu ukiona mdada anashobokea bishoo jua hajakua! Hao wako kwenye stage ya balehe! Wakijashtuka wameshachelewa, huwezi kuta mwanamke ambaye anajielewa yuko na mtu kavaa suruali ka ya dadake!
Good!Alafu kingine katika vitu vilivyonipataga kushoto ni club..sinaga mzuka na club hadi rafiki zangu wananishangaaga...starehe yangu kubwa labda kwenda fukwe nishangae maji tu moyo wangu burudani...lakini sijui leo niko double tree kesho 4040 kesho kutwa sijui wapi...hapana hivyo vitu vipo kushoto namimi
Narudia tena kusema kua NAMBA 2 HAO NDIO WANAUME
HahahaSio tu suruali kuna hereni na lipshine na poda pia
Humu wako wengi tuu,na wanachangia Mada km hz ,ukikutana nao ndio unajua kuwa kumbe huyu wa hiviAlafu kingine katika vitu vilivyonipataga kushoto ni club..sinaga mzuka na club hadi rafiki zangu wananishangaaga...starehe yangu kubwa labda kwenda fukwe nishangae maji tu moyo wangu burudani...lakini sijui leo niko double tree kesho 4040 kesho kutwa sijui wapi...hapana hivyo vitu vipo kushoto namimi
Narudia tena kusema kua NAMBA 2 HAO NDIO WANAUME
Naanzaje sasa kumuangalia mara mbili...wanachefua..aarrghhhhHahaha
Hebu niambie huyo ni mwanaume wa kumuangalia mara mbili kweli???
Kuna wenzenu humu ndio wanawataka haoHahaha
Hebu niambie huyo ni mwanaume wa kumuangalia mara mbili kweli???
Kweli kabisaHumu wako wengi tuu,na wanachangia Mada km hz ,ukikutana nao ndio unajua kuwa kumbe huyu wa hivi
tupo holidayUtoto utoto tu
tupo holiday
tuvumiliane tu maaMpaka holiday iishe tutakoma
Yaani huwa hawajui tuuNaanzaje sasa kumuangalia mara mbili...wanachefua..aarrghhhh
Waendelee kuwataka tuu wakikua wataelewa!Kuna wenzenu humu ndio wanawataka hao
Hao ni wasichanaKuna wenzenu humu ndio wanawataka hao
a Word is not a Sparrow ,if it flew out.... You can't catch it [emoji55][emoji4][emoji4] nyauuuu..nimeipenda hii[emoji8][emoji8]
doh kumbe na huku uposura ngm ndo habari ya mjin!lol
nipodoh kumbe na huku upo