Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

Akiwa kwako huwa halii kabisa....Mwenzio akiwa kwa Kongosho analia mwanzo mwisho''hahahaaaaaaa nimeipenda hiii ni trueeeee kabisaaaa... alikuwa hajui huyoo sasa umemshtua itabidi afanye utafiti..
 
Last edited by a moderator:
Nina hamu ya kuwasikia Dada Kaunga, Kongosho, Fixed Point na Lisa.
Nipeni ujuzi ili nikauendeleze.

Madame B, kwa kusema kweli kabisa kutoka moyoni mimi mume wangu huwa analia kabisaaaaaa, yaani ukisikiliza unaweza sema mimi ndiyo namshughulikia badala ya yeye kunishughulikia, mpk namkataza namwambia aache kelele, anaitikia kama mtoto "aya naacha" dakika mbili nyingi ukiana tu kumpa dozi anarudi pale pale au azidishe, so nimeshamzoea mtu wangu.
Pia huwa inanipa msawasha ile mbaya pale ninaposikia analalamika kwa utamu basi nami nazidi kusikia rahaaa.
USIMCHEKE SHEMEJIO LAKINI"
 
mmmmh!!! ningekuwa mimi ningeigandisha hiyo midomo kwa super glue kwanza. hizo fujo sasa. lol
 
Wee unasema tu, kila mwanamme ana mwanamke tu mwenye swichi ya honi yake.

Hawapigi kelele kwa kila mmoja, hadi mwenye batani hiyo.

hhhhhhhhaaaa!!! inawezekana wengine wakafa bila kujua swichi zao zipo wapi. lol. ndio maana kaka zetu wanajitahidi kuonja onja kumbe wanatafuta hizo batan.
 
Aise mapenzi kila binadamu ameumbwa na style yake!!! Wengine kama gogo, wengine hata akiwa anaachia mshindo hakuna hata mshtuko, wengine wanalia kama faru!!!! Mungu kaumba!!!
 
He he he, hujui hilo?
Hata wanwake, hawapigi kelele kila mahali:tape:

:ban:

hhhhhhhhaaaa!!! inawezekana wengine wakafa bila kujua swichi zao zipo wapi. lol. ndio maana kaka zetu wanajitahidi kuonja onja kumbe wanatafuta hizo batan.
 
  • Thanks
Reactions: awp
masterbedroom yahitaji soundproof kwa hali hiyo!!
na mke naye akilia!!! MAJANGA

Ha ha haaaaa nimecheka bure nikianza kukumbuka m baba alivyokuwa analia, afu ingetokea na m dada naye analia...pasingetosha
 
Madame B, kwa kusema kweli kabisa kutoka moyoni mimi mume wangu huwa analia kabisaaaaaa, yaani ukisikiliza unaweza sema mimi ndiyo namshughulikia badala ya yeye kunishughulikia, mpk namkataza namwambia aache kelele, anaitikia kama mtoto "aya naacha" dakika mbili nyingi ukiana tu kumpa dozi anarudi pale pale au azidishe, so nimeshamzoea mtu wangu.
Pia huwa inanipa msawasha ile mbaya pale ninaposikia analalamika kwa utamu basi nami nazidi kusikia rahaaa.
USIMCHEKE SHEMEJIO LAKINI"

Kwenye red hapo imebidi nitafakari sauti yake akisema "haya naacha" afu then sauti nyingie akianza kulia na kulia nakulia.

Kweli kua uyaonee
 
hhhhhhhhaaaa!!! inawezekana wengine wakafa bila kujua swichi zao zipo wapi. lol. ndio maana kaka zetu wanajitahidi kuonja onja kumbe wanatafuta hizo batan.

Ha ha ha haaa...wanachonga mzinga kutafuta batan lool....waneza onja maisha yao yote na batan asiipate. Uongo?
 
Mi huwa nacheka kwani sielewi kwa nini wanawake wanalia wakati lile tendo ni la utamu maridhawa kwani ukishamaliza mchezo, mwili wote lainiiiiiiiii, sasa kwa nini watu walie?
 
...Jina lake ni Tyrese....MO ulikuwa unataka akuoe au akuwowe!? 🙂🙂 there is a difference between "kuoa" na "kuwowa" 🙂🙂 clarification please!!!! 🙂🙂

Rafiki, katika watu ambao wakati wa uschana wangu nilikuwa nawa-admire kana kwamba nikasema ikitokea akaja bongo na kuniambia will u marry me nitasema yes hata kablba hajamalizia ni huyo mwanamuziki wa tatu kulia me love him the way alivo yaani........... nimesahau jina lake ila nahisi linaanziwa na T thanks sana for the song umenikumbusha mbali kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Wee unasema tu, kila mwanamme ana mwanamke tu mwenye swichi ya honi yake.

Hawapigi kelele kwa kila mmoja, hadi mwenye batani hiyo.

Hapo nilipo bold umesema kweli kabisa mpk umshike kwenye sehemu hiyo ndiyo anaanza kupiga kelele ukiacha ananyamaza.
 
inapendezaga kabisa kumuonesha mpenz wako kama umekolea ila co kilio , dume zima unlia haipendeziii, mi mpenz wangu humuonesha tu kama mmekolea na rahaa zake kwa maneno ama mguno co kilioooo!!
 
Thanks kunikumbusha maana hata jina lake tu mie nilikuwa narojeka looh nilikuwa nimedata kwa kweli. Nikibahatika kupata baby boy miaka 3 ijayo ntamuita Tyrese.
Hahahahaaaaa BAK wakati huo nilikuwa kigoli kweli so ndoto nilizokuwa naota ni za kuolewa na si kuwolewa, I was believing in marriage and not in kuwolewa, my take was marriage is friendship laughing, playing like kids, singing, dancing and have little kuwolewa and is not a must or important.
Again thanks for giving my grooves back:music::music:
...Jina lake ni Tyrese....MO ulikuwa unataka akuoe au akuwowe!? 🙂🙂 there is a difference between "kuoa" na "kuwowa" 🙂🙂 clarification please!!!! 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Kwenye red hapo imebidi nitafakari sauti yake akisema "haya naacha" afu then sauti nyingie akianza kulia na kulia nakulia.

Kweli kua uyaonee

Kokutona tupate habari kamili...usinichoshe...nisikuc hoshe
 
Last edited by a moderator:
Thanks kunikumbusha maana hata jina lake tu mie nilikuwa narojeka looh nilikuwa nimedata kwa kweli. Nikibahatika kupata baby boy miaka 3 ijayo ntamuita Tyrese.
Hahahahaaaaa BAK wakati huo nilikuwa kigoli kweli so ndoto nilizokuwa naota ni za kuolewa na si kuwolewa, I was believing in marriage and not in kuwolewa, my take was marriage is friendship laughing, playing like kids, singing, dancing and have little kuwolewa and is not a must or important.
Again thanks for giving my grooves back:music::music:

Come again Mkunde Original? sasa umeolewa au umewolewa lol
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa nacheka kwani sielewi kwa nini wanawake wanalia wakati lile tendo ni la utamu maridhawa kwani ukishamaliza mchezo, mwili wote lainiiiiiiiii, sasa kwa nini watu walie?

Eti ni vilio vya utamu lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom